Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,366
- 161,496
I'm someone's fianceU mean like ur not yet someone's wife?,
I'm someone's fianceU mean like ur not yet someone's wife?,
Nice,I really adore u...just know that ...ever sinceI'm someone's fiance
Hivi huwamnafikiria kila mtu mnalingana akili eti??Unakuta unemtolea mkeo mahari ya laki tano (500,000) tu ,na ukingalia mpaka sasa mnamiaka kumi kwenye ndoa lakini bado unawivu tu.
Atii nimemtolea pesa yule mwanamke, kidume unajisifu kitaa.hivi wanawake wakiamua kukomaa na kugawanya pesa yako kwa mwaka nisawa kila siku umemtolea kiasi gani kwa huduma unayopewa?
Maana mwanamke huyo
Anakupikia
Anakuzalia watoto
Anavufua
Anakupa huduma ya usiku
Mtazamo wangu tu ilipaswa tutoe mahari kila mwaka ili kumpa thaman mwanamke. Kama tunavyolipa kodi ya serikali.
Ila ni mtazamo tu ba ndugu
Kidume yupo kitaa anasema nimekutolea mahari wewe kwahiyo usibeep. Basi mwanamke akauliza umetoa kiasi gani hiyo laki tano yako ndio inakupa jeuli.Kwa mahari gani hasa mnazotoaga hadi mtu ajisifie!!!
Duuuuh!! Laki 5 ndio mtu akunyanyasie!! Ndio taabu za kuoa kabla haujakua.Kidume yupo kitaa anasema nimekutolea mahari wewe kwahiyo usibeep. Basi mwanamke akauliza umetoa kiasi gani hiyo laki tano yako ndio inakupa jeuli.
Naunga mkono kutoa mahari kila mwaka kama kweli tunajua thaman ya mwanamke ili angalu kuwapa nguvu jaman.
Marekebisho:-
Hanipi huduma usiku ila tumapeana huduma usiku maana ile ni win-win situation.
ndo nani..pichaNimemkumbuka Julieth wa Three Suitors One Husband
sisi ndo hatuwafichii udhaifu wenu sio?Wanaume mnapaswa kutushukuru wanawake hasa tunaowafichia mapungufu yenu vinginevyo mngetapa tapa sana
Na wewe unanifata fata sana,ipo siku utapata unachostahilisisi ndo hatuwafichii udhaifu wenu sio?
kumbe mnatufichia mapungufu....sasa unayaficha umpe nani,,,,,nambie nijipange.....wanawake bana!!!!Wanaume mnapaswa kutushukuru wanawake hasa tunaowafichia mapungufu yenu vinginevyo mngetapa tapa sana
We jamaa umenenaUnafananisha mahari na kodi.