Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,647
- 4,495
Jamaa wa pembeni mpaka anaogopa
Ni wapiSio tanzania hapo
Wanaume wa mkoani nao wamezidiHahahah hana habari na mtu kwa alivyokuwa serious.Huyu kama sio Shinyanga basi Kigoma au kosa kosa Iringa.
Na wengine wanatusuliwa vile vile.mnawacheka tu lkn wakija mjini wanatusua wanaume wa mjini inabidi kukimbilia kazi ya udalali tu
Huyu kwan n mwenzetu wa mkoani??
Mambo ya daradara achana nao. Dar kwenyew zinavuja sana. Kuna siku nilipanda daradara moja ivi, pale Fire kwenda SINZA, niliamua kushukia kituo Kagera.Huyo jamaa yupo sahihi juzi nimepanda daradala moja hivi inavuja hatari.