Umachinga siyo kazi, ni matokeo ya kushindwa kwa mipango ya serikali ya Tanzania. Ni upumbavu kwa watu kujivunia umachinga. Hakuna mipango, wanachotaka ni kuchuma tuAmani ya bwana iwe nanyi.
Mimi kama mfanyabiashara wa kimachinga tangu awamu ya mzee mkapa, naomba nichukue nafasi hii kuipongeza sana serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli.
Kabla ya awamu ya Rais Magufuli kuwa Machinga ilikuwa ni adhabu kubwa.
Vipigo, kuwekwa ndani na kuchukuliwa vitu na mgambo ilikuwa ndio maisha ya wamachinga.!
Leo hii wamachinga tunafanya biashara kwa kujiachia katikati ya mji kama mitaa ya kongo na makoroboi! Tuseme nini waja wako ee bwana??
Chini ya utawala wako maisha ya wamachinga yameboreka sana na biashara hii, sasa inatambulika rasmi.
Rais Magufuli pokea salamu zetu sisi wamachinga na tunakuahidi ushindi wa kishindo uchaguzi wa 2025.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni machinga wa kisiasa.UVCCM siku hizi wamekuwa machinga?
Umasikini wako unatuhusu nini sisi,Umesahau mamilioni wanaoteseka kwa ajili ya serikali unayoisifu. Vijijini hatunywi chai bei ya sukari imetushinda. Kilio chetu Mungu ndie mlipaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umasikini wako unatuhusu nini sisi,
Kushindwa kununua sukari umeona ni jambo la maana sana kuja kujianika hapa?
Sisi tunapambana na hali zetu kwa kutandaza bidhaa barabarani na wewe pambana na hali yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi ya Magufuli unalipa sanaMachinga una simu ya tachi?? Unajua jamiiforums?? Umetumwa wewe
So this is all you are proud of! Being a machinga. I can imagine the kind of a person you really are. I dont blame you, the system created you, and here you are praising it. Sorry for you.Umasikini wako unatuhusu nini sisi,
Kushindwa kununua sukari umeona ni jambo la maana sana kuja kujianika hapa?
Sisi tunapambana na hali zetu kwa kutandaza bidhaa barabarani na wewe pambana na hali yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuna mwendo mrefu sana kuwakomboa watu kutoka utumwa wa fikra.Ww ndio umeongea upumbavu kule kwenye yzi wa bomu ofisi ya IMMA Advocate kwamba acha walipukiwe kisa wanatetea wazungu. Unakuja na propaganda za kipuuzi eti ni mmachinga, bila kujua umachinga nchi hii umechochewa na sera mbovu za ccm.