Sisi wajinga?

Sisi wajinga?

BIN BOR

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,013
Reaction score
407
Mzungu mmoja amepost hii kitu katika blog moja ya Marekani.

"I guess when we sold them the weapons we forgot to include instructions? Ignorance is an even worse reason than terrorists. Ignorance is far more terrifying"

na mwingine

"weapons kill. even when they are in storage"

lakini huyu alichokoza kidogo

" I predict a plethora of islamic republics in the near future."

huko nako kuna wehu kama huyu hapa

"A be late happy new year party?"
 
Wala mawazo yao hayapo mbali sana na kilichotokea!!Haswa huyo wa kwanza na wa pili!!!
 
Wala mawazo yao hayapo mbali sana na kilichotokea!!Haswa huyo wa kwanza na wa pili!!!
dah! afazali lizzy umetokea, nafanya takwimu ya kuangalia kama hakuna JF memba alieathirika na mabom, sasa wewe nilikuwa skuoni nikapata mshtuko wa hafla lakini sasa roho imetulia.
 
dah! afazali lizzy umetokea, nafanya takwimu ya kuangalia kama hakuna JF memba alieathirika na mabom, sasa wewe nilikuwa skuoni nikapata mshtuko wa hafla lakini sasa roho imetulia.

:tea:Embu tufanye mpango wa kuwawajibisha hawa watu wanaotupa presha!!!!
 
Sisi sio wajinga ila tuna ujinga sana hasa wakati wa polling
 
Back
Top Bottom