Sisi wa Miaka ya 90s na muziki wetu wa Kongo Mnawakumbuka hawa Rappers ?Huyu alikuwa Mkali.

Aliyerap kwenye effrakata alifanya hatari saana.

Ila kila mbongo ndio rapa pekee namjua kwa jina.

Alifanya vizuri sana na Extra ndiye alikuwa mdogo kiumri kupita wote. Code Niawu Ndio rapa aliyofanya kazi na wasanii wengi zaidi. Ndiye aliyetufanya tu enjoy staili za kucheza za Kanda Bongo Man na Alain Kounkou.
 
Hawa wamefanya kazi gani zingine,nijue kama walibahatisha mule au ndio balaa lao?

Walifanya kazi nzuri kwenye album moja, Ndio maana huwa naamini Code Niawu ndiye rapper bora zaidi huyu ameshiriki kwenye kazi nyingi mno, Koffi alipokuwa anatumbuza Paris alipenda pia kupanda nae.
Nenda kasikilize Billi, Tokei, Yolanda za Madilu, sikiza Djaffar ya mAdilu Afu urudi.
 
Kuna Combination 2 Hatari kwenye sebene. 1. Nene Tchakou + Code Niawu + Kanda Bongo Man 2. Nene Tchakou + Code Niawu + Alain Kounkou.
1990’s wanamuziki wengi walimuhitaji Code Niawu hata nje ya mipaka ya Congo, Ivory Coast Togo etc
Ya kwanza ndio ilikua hatari sana!
 
Bebe gero kerosine + brigade rwinga sabrat, combination moja hatari sana kutokea congo
 
Yeah ni kweli kbs, fanya kusikiliza Massapa ya Kounkou kwanza
Kuna uzi nilikuwa nautafuta ule niliokuuliza Nani atalaku kwenye Billi ya Kanda Bongoman. Bahati leo kwenye Sunday Rhumba ya magic FM nimeusikia Massapa na nimekiri kuwa yule jamaa ninayemsikia kwenye nyimbo nyingi na kibwagizo chake "nyauwee" yaani Code Niawu ndiye mwenyewe.

Imenichukua muda mrefu sana kimfahamu huyu jamaa. Ahsante Sana Kwa kunijulisha jina lake. Ana Balaam huyu jamaa ila naona hapewi heshima ya kutosha.
 
Walifanya kazi nzuri kwenye album moja, Ndio maana huwa naamini Code Niawu ndiye rapper bora zaidi huyu ameshiriki kwenye kazi nyingi mno, Koffi alipokuwa anatumbuza Paris alipenda pia kupanda nae.
Nenda kasikilize Billi, Tokei, Yolanda za Madilu, sikiza Djaffar ya mAdilu Afu urudi.
Hiyo Djaffar kafanya mauaji ya kutisha bila kumsahau Dally Kimoko gittare ezanga likwanza
 
Back
Top Bottom