Yuko bwana mkubwa mmoja wa zamani sana akiitwa Dialo aliwahi kusema nyama zote zitauzwa supamaketi na sio mabucha yetu yale ya magogo....BAHATI YAKE sili nyama!!
Leo asubuhi nilikuwa ninamsikiliza msemaji wa TCRA akielezea kubadilishwa kwa mfumo kutoka analojia kwenda digitali huku akifafanua kwamba tunahitaji kuwa na ving'amuzi ili tuweze kuona chaneli mbalimbali kwenye runinga zetu.Nashindwa kuwaelewa hawa mabwana kuhusu kutuangalia sisi wa kipato cha chini wenye antenna zetu zu tubelight tutapata taarifa mbalimbali kupitia nini kama hata chaneli za TV mnatunyang'anya?Nasema hatuna uwezo wa kulipia hao star times,easytv,zuku potelea mbali DSTV..Mnatuongezea gharama za maisha wakati yenyewe yameshapanda..
Mnatunyanyasa....
next hii ni biashara ya watu bwana wakubwa hao wanaona watauzaje wewe unaishi wapi unazungumzia 70,000/=tsh ni kubwa sana kumbuka vitu hivi havina giarantee wewe ndugu mshukuru mungu ninakuambia ni wachache sana wataaford vijijini tumewapoteza na tv zao ndugu yangumabadiliko yoyote hasa yanayo husisha kuongezeka kwa gharama, watanzania tumekua wagumu sana kuyakubali hata kama ni mazuri na gharama si kubwa
gharama ya king‘amuzi ni kati ya 70,000 na 150,000.' na malipo ya mwezi ni kati ya 9,000 na 40,000 (ukiacha dstv)
hapo wewe unajiweka kundi la wasio na uwezo, ila unamiliki sim ambayo inauwezo wa internet hivyo haipungui 70,000, na unatumia zaid ya 10,000 kwa shughuli zisizo kuingizia kupato.
me nakushauri uangalie jinsi ya kumiliki king'amuzi chako. changamoto iliyopo ni kuhakikisha makampun yanayohusika na kurusha haya matangazi kupitia ving'amuzi warushe all local chanells as mandatory na waweke ushindani kwenye chanels za nje.
Next sidhani kama unaelewa kipato cha mtanzania wa kawaida shukuru hiyo 70,000 unaipata sisi wngine ndio mshahara wetu wa mwezi kwa muhindi hizi posts ni internet za ofisini tu na sio cmu..maisha ni magumu ndugu yangu hiyo 9000/=kwa mwezi ninaitoa wapi?hiki kingamuzi ni kutubebesha mzigo tusiouweza kila kitu kimepanda,unga,mchele nk bado unadai haya ni mambo mazuri kwa gharama kidogo zile antenna zetu zina shida gani?siwezi sema sana kwasababu uwezo wetu unapishana..ila jua kwamba hali yetu watanzania ni mbaya sana na hatuwezi hata hiyo milo mitatu..mabadiliko yoyote hasa yanayo husisha kuongezeka kwa gharama, watanzania tumekua wagumu sana kuyakubali hata kama ni mazuri na gharama si kubwa