Wanaodaiwa kuwa ni waombolezaji kwenye msiba wa Sajuki..................Jiulize ni kwanini huyu Bishololo mwenye miwani kifuani amejitenga na hilo kundi? halafu anawatizama kwa jicho baya....nahisi wameshamfanyia kitu mbaya
Misiba kama hii aghalabu kunakua na menyu........................zamani watu walikua wanasikilizia redio kujua msiba uko wapi siku hizi menyu zimepungua kdg sana sana mnagongwa na Uji na NDONDO