Mti mkubwa
Member
- Sep 2, 2017
- 27
- 21
Hawa jamaa wamekosa mvuto kabisa hususani baada ya ligi mbali mbali kufikia tamati ,vipindi vyao havina maandalizi.niombe waone uwezekano wa kurejesha fta channel huenda zikasaidia kuwabeba tofauti na hivyo mtakosa wateja
