Sisi ndio wanaume bwana!

Kuonyesha laptop kuna ubaya gani?
Haya babu umenishinda lol!
Yani ulivyonigeuzia kibao,
Kunionyesha laptop sio ishu,ila kilichofunikwa na hiyo laptop ndio sitaki kukiona lol!
 
naam ni kweli tupu ila eti wanataka usawa akina mama bhanaaaa,,,,,hawataki kuamini kuwa wao ni wasaidizi na watabaki kuwa wasaidiz wetu labda wajivue magamba ya kuwa wanawake/jinsia
 

Wakikusikia utaleta maafa makubwa!
 
Mr Rocky,
Baologia somo au unamaanisha kitu gani?
Haka kamsemo nimekaona mara nyingi hu jf lkn sikaelewi,
Nieleweshe tafadhali!


ni ngumu kulisema hilo neno hapa bana
Muulize Babu anajua baiolojia ni nini
sio somno bana si unakumbuka kwenye baiolojia somo wanafunzi walikuwa wanapenda topic gani sana
Hiyo hiyo ya kuongeza idadi ya viumbe duniani
 

YOTE Ni porojo .. Mwanaume ni PESA..
 
ni ngumu kulisema hilo neno hapa bana
Muulize Babu anajua baiolojia ni nini
sio somno bana si unakumbuka kwenye baiolojia somo wanafunzi walikuwa wanapenda topic gani sana
Hiyo hiyo ya kuongeza idadi ya viumbe duniani
Haaa haaa haaa,
Nimekusoma Mr Rocky,
Dah! nilikuwa gizan mkuu!
 
Ni wa ukweli sana,kwa hiyo hata hiyo no 5 haimuusu.Babu sema amen
Aiiiimen! huyo kweli kidume, kama unaamini #5 kwa mwanaume wako, basi huyo kidume! Endelea na imani hiyohiyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…