Sasa nyie si mmeamua kukaba hivi hauoni Gaijin anaziba mianya yote umebakia huo mmoja tu ambao ni VAT Inclusive ila nimeomba sheria hii isipitishwe wakati JK bado yuko madarakani.
umemuomba nani? Makinda?
sasa mimi ntasusia vikao ipitishwe haraka na tena ifanye kazi "kinyume nyume" (yaani kuanzia waliooa wakati wa uhuru, iwahusu...)
Karibu sana mwanaume mwenzetu.niko busy kidogo
nitaipitia baadae thread yote
but between Aspirin na Mbu.....kwa pamoja mmeeleza vizuri
nitarudi kuongeza
this is very usefull thread......Bishanga arekebishe ile ya kwake.....soon....
Boss "busy" ina maana nyingi sana]niko busy kidogo
nitaipitia baadae thread yote[/COLOR]
but between Aspirin na Mbu.....kwa pamoja mmeeleza vizuri
nitarudi kuongeza
this is very usefull thread......Bishanga arekebishe ile ya kwake.....soon....
ODM lakini swali la msingi si unamiliki kihalali, uzia na wengine kama vile unavyouza kiwanja, magari n.k Ugumu uko wapi, kwikwik kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeehHahahaha....... mkuu kaunta ya juu lazima ihusike. Mitaa ya Sinza na haka kamvua, nyagi litapata habari yake. Huo ndio uanaume sasa!
Makoloni ni mali ya mtawala......... turudi kwenye hoja tafazali .LOL
Shida tuliyonayo sasa kama taifa kisha unataka serikali iendelee kukosa pato halali kwa kipindi cha miaka minne ijayo! Tungekutwisha che cha fisadi nyangumi lakini bahati mbaya kina mmiliki tayari......😛
umemuomba nani? Makinda?
sasa mimi ntasusia vikao ipitishwe haraka na tena ifanye kazi "kinyume nyume" (yaani kuanzia waliooa wakati wa uhuru, iwahusu...)
Yaani nyie sio watu wa kuwakaribisha kabisa kwenye mchakato wowote ule mnaweza kuharibu mwenendo mzima...lolHe he he ........hapo lazima tuchimbe bwawa jipya la umeme!
Uchumi mnao mmeukalia- J.K.Nyerere
He he he ........hapo lazima tuchimbe bwawa jipya la umeme!
Uchumi mnao mmeukalia- J.K.Nyerere
Unanunua kwa milioni 10 baadae unaenda kuuza kwa milioni 3 hasara kabisaODM lakini swali la msingi si unamiliki kihalali, uzia na wengine kama vile unavyouza kiwanja, magari n.k Ugumu uko wapi, kwikwik kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeeh
Ulikuwa mwongozo tu kama uli walioomba wapinzani bungeni lakini Makinda akapotezea.Hahahaha....... mkuu kaunta ya juu lazima ihusike. Mitaa ya Sinza na haka kamvua, nyagi litapata habari yake. Huo ndio uanaume sasa!
Makoloni ni mali ya mtawala......... turudi kwenye hoja tafazali .LOL
Akhaaa, tulipunguzie taifa adha ndogo ndogo bana...tukianza na umeme na maji...
Kwa hiyo kigezo ni biashara hailipi bora ufe nayo, hilo nalo neno kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeeeeeeeeh.Unanunua kwa milioni 10 baadae unaenda kuuza kwa milioni 3 hasara kabisa
Kikawaida unauza kile kitu ambacho huitaji tena kukitumia, ukifika muda huo ntakuuzia. Vigezo na masharti kuzingatiwa!ODM lakini swali la msingi si unamiliki kihalali, uzia na wengine kama vile unavyouza kiwanja, magari n.k Ugumu uko wapi, kwikwik kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeeh
Unanunua kwa milioni 10 baadae unaenda kuuza kwa milioni 3 hasara kabisa
ODM lakini swali la msingi si unamiliki kihalali, uzia na wengine kama vile unavyouza kiwanja, magari n.k Ugumu uko wapi, kwikwik kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeeh
Ingekuwa kwenye STOCK EXCHANGE ingekuwa safi sana ukiona shares zako zimepanda huyoooo unauza, uliishawahi kuona gari limepaki sehemu limebandikwa karatasi "For Sale Call The Following Numbers 0784....." halafu linakaa hapo karibia miezi sita hadi bodi inaanza kupata kutuKwa hiyo kigezo ni biashara hailipi bora ufe nayo, hilo nalo neno kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeeeeeeeeh.