Sisi Mashetani hatutapiga kura, Tumewaachia Malaika

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,551
Reaction score
20,346
GT
Uchaguzi wa mwaka huu malaika ndo wanashiriki kwa kweli sisi mashetani tumemaua kukaa pembeni na kuwa watazamaji.

Muda sahihi wa sisi mashetani ukifika tutapiga kura , Kwa sasa Malaika ndo atawaongoza malaika wadogo. Hatuwezi kushiriki uchaguzi huku nchi ikinuka damu za watu
 
GT
Uchaguzinwa mwaka huu malaika ndo wanashiriki kwa kweli sisi mashetani tumemaua kukaa pembeni na kuwa watazamaji.

Get my art printed on awesome products_ Support me.jpeg
 
GT
Uchaguzinwa mwaka huu malaika ndo wanashiriki kwa kweli sisi mashetani tumemaua kukaa pembeni na kuwa watazamaji.

Muda sahihi wa sisi mashetani ukifika tutapiga kura , Kwa sasa Malaika ndo atawaongoza malaika wadogo. Hatuwezi kushiriki uchaguzi huku nchi ikinuka damu za watu
Msipopiga kura litakuwa jambo jema sana!
 
GT
Uchaguzinwa mwaka huu malaika ndo wanashiriki kwa kweli sisi mashetani tumemaua kukaa pembeni na kuwa watazamaji.

Muda sahihi wa sisi mashetani ukifika tutapiga kura , Kwa sasa Malaika ndo atawaongoza malaika wadogo. Hatuwezi kushiriki uchaguzi huku nchi ikinuka damu za watu
Kenge
Mbuzi
Ng'ombe
Masheta
Bado hadi mwezi wa 10
 
Jakaya ulisema labda mambo yakiharibika Sana,hivi huoni hii imevuka Sana we mzee?
 
Ee Mungu tusaidie makenge na mashetani tunatekwa,lawitiwa na kuuawa.
 
Back
Top Bottom