engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Picha zote ni kwa hisani ya ankal michuzi blog
Kazi yetu KUBWA KWA SASA ni kuandaa magari ya FFU pale Field Force Kwa Mromboo, ili yawatandike vizuri wanaArumeru watakaochagua CDM!
Huo ndio mpamgo-Mkakati na mpango mahsusi wa muda mrefu unaolenga kudumisha amani yetu!
Tanzania bila Wapinzani inawezekana!
baada ya upembuzi yakinifu kukamilika kutaundwa sera na mpango mkakati.....................na serikali itafanya juhudi za kupata mwekezaji wa kigeni kisha mbia....
Kuna msemo kuwa development is painful,sasa sisi vizuri tunataka lakini kuvunja nyumba karibu na barabara ili ipanuliwe hatutaki,hela za ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia mjini mpaka Kibaha zipo nadhani mwaka wa 5 sasa lakini ujasiri wa kuvunja hatuna mpaka nimesikia wafadhili wanataka warudishie walichochangia,inasikitisha sana.Dr Magufuri akitaka kufanya kazi yake mnalalamika,wakati huohuo mnataka barabara nzuri
watanzania bwana si lolote si chochote
mwacheni magufuri afanye kazi yake naimani tutafika pale tunapo pataka la sivyo tutalalama sana.
alianza bomoa bomoa mkaja juuu kwelikweli,leo hii mnaanza tena kupiga kelele
Kuna msemo kuwa development is painful,sasa sisi vizuri tunataka lakini kuvunja nyumba karibu na barabara ili ipanuliwe hatutaki,hela za ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia mjini mpaka Kibaha zipo nadhani mwaka wa 5 sasa lakini ujasiri wa kuvunja hatuna mpaka nimesikia wafadhili wanataka warudishie walichochangia,inasikitisha sana.
Kuna maneno nimetokea kuyachukia mpaka nikiyasikia napata kichefuchefu MCHAKATO,UPEMBUZI YAKINIFU, TUNAWASILIANA NA WAFADHILI,MRADI HUU UKO KWENYE BAJETI IJAYO n.k.
Hata barabara ya Tanga-Horohoro naskia malipo yamefanywa mara 2 kwasababu hii hii ya kukosa uthubutu wa kuvunja nyumba za wavamizi barabarani.mkuu
maghufuri alisema siku moja,kuwa kama tutachelewa kuvunja hizo nyumba tuta mchelewesha mkandarasi na utakapo fika mda wa kumaliza kazi kwa mkandarasi yeye atadai chake,kwani tayari alisha ingia mkataba na ameleta vifaa site,vifaa hulipia kwa siku,so mwisho wa siku pesa yote itaishia kwa kulipia fidia kwa mkandarasi
mimi nawalaumu viongozi kwani wanaleta siasa ktk mambo ya msingi kabisa