Sisi ambao tumebarikiwa kuwa na wazazi wetu tuwaheshimu

machiaveli

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
1,890
3,958
Habari zenu wote?
Leo Kuna jambo nimekaa nikatafakari sana!

Tulivyokua wadogo tuliwaona wazazi wetu ni kama watumwa wakutulisha,kutuvisha,kutusomesha na mambo kama hayo!!

Kwa Sasa mi ni mwanaume(mzazi) wa around 35-40 nimekuja kugundua jambo!
Kuna muda mzazi unakata tamaa kabisa na watoto wako unawachukia mpaka kujuta kwanini uliwapata!!

Niko Arusha Kuna kijana mdogo around 17-21 anachoma watu visu mtaani na kuua kabisa
Leo hii katiwa mkononi mwa jeshi la polisi!

Mama yake mzazi anasema ashukuriwe Mungu na anaendelea na shughuli zake!!
Ni kweli hata Mimi nimesema ni Bora hata huyo kijana wake angeuwawa!!

Swali je sisi wazazi wangapi tunafurahia hukumu wanazopewa watoto wetu kwa maovu?
 
(Kutoka 20:12).

Waheshimu baba Yako na Mama Yako Ili Siku zako zipate kuwa nyingi katika Nchi upewayo na BWANA Mungu wako.

Amen
 
Habari zenu wote?
Leo Kuna jambo nimekaa nikatafakari sana!

Tulivyokua wadogo tuliwaona wazazi wetu ni kama watumwa wakutulisha,kutuvisha,kutusomesha na mambo kama hayo!!

Kwa Sasa mi ni mwanaume(mzazi) wa around 35-40 nimekuja kugundua jambo!
Kuna muda mzazi unakata tamaa kabisa na watoto wako unawachukia mpaka kujuta kwanini uliwapata!!

Niko Arusha Kuna kijana mdogo around 17-21 anachoma watu visu mtaani na kuua kabisa
Leo hii katiwa mkononi mwa jeshi la polisi!

Mama yake mzazi anasema ashukuriwe Mungu na anaendelea na shughuli zake!!
Ni kweli hata Mimi nimesema ni Bora hata huyo kijana wake angeuwawa!!

Swali je sisi wazazi wangapi tunafurahia hukumu wanazopewa watoto wetu kwa maovu?
Uzi wa tangu nov 20, hadi leo wamekoment watu wawili tu.

Ndio ujue Wazazi wanaheshimikama kama walijali familia zao ktk hali na mali.

Sio kila famili inaweza kuwa tajiri lakini baadhi ya wazazi ni wabinfsi( hasa wanaume)

Chochote wanachopata wanaenda kuongeza Michepuko kwa ubinafsi wa kujiburudisha wao huku wakiacha watoto na wake zao ktk hali duni sana za maisha.

Ktk mazingira kama hayo ni ngumu sana Mzazi kuheshimika na kupendeka.

Mifano ni mingi hasa kwa uzi wako na Diamond
 
Back
Top Bottom