Sishauri mtu kusoma PhD OUT

Sasa kama UDSM - si itabidi uingie full time?
 
Kuna lecturer wangu mmoja alisema Namnukuu "mimi nilipata kwa tabu sana hii phd yangu alafu wewe ndo uje upate course work kirahisi"
Nakwambia robo tatu ya darasa tulikunja "C" lile somo 🙌
Aina ya ma lecturer tulio nao , wanataka kuona wanafunzi wanateseka, ka wao walivyopata shida wakati wanafunzi. Badala wa muwezeshe mwanafunzi ku gain credible knowledge, wao wanataka ateseke?

Kuna todauti kubwa sana na vyuo vya UK na hapa. Dunia mbili tofauti kabisa
 
Mkuu sijui unafeli wapi? Unasoma PhD na unalalamika upo serious kweli? Unafikiri supervisor wanakula email?
Tengeneza na weka mazingira supervisor wako akutambue na siku moja moja akupigie simu akijidai amekosea au anataka kukusalimia tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…