Sisemi kitu

Hapo hufungi kamba ya kiatu! Hata pen ikidondoka kuiokota mawazo!
 
lol ka mtoto wa tembo!
 
-Ameshiba hongo
-Pataship haziwezi
-Utendaji wa kazi unapungua
-Ndoa hatarini labda mama awe juu tuu
 
Duh!!!Huu ulafi mwingine bhana balaa tupu,kafanana na Mtapa!!!
 
KUla Rushwa na mali za yatima ndiyo kumemvimbisha Tumbo yeye anaona afya.
 
Huu ni ugonjwa wajameni, anahitajika kwa Daktari haraka sana

HAKUNA ANALOWEZA KULIFANYA HATA KUFIKIRI TUUUUUUU!!!!!!!!!!
 
Huyu akitaka kukaa razima aweke kitambi juu ya meza ndo akae hahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…