Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,144
- 3,848
khaijajulikana implementation yake itakuaje mkuu.
mfano wanaweza wakaweka mfumo line moja inaweza ikawa na namba 5. hivyo unaweza ukasajili zote tano na ukazi switch na app tu, wakaweka maximum zinazokuwa active ni 2. implementation yake ndio itakayoamua kama ni njia nzuri ama la.
Mbona wana OS ya windowsNatamani kuiona Nokia ikitumia operating system tofauti na Android.
Dola 192 mkuuBei gani mzeebaba?
nimeiona hii simu pale gsmarena, naona, wamekuja na gia kubwa. simu ina 6RAM. Features zake ni competitive kwa iPhone 8 plus na Samsung Note 8.
welcome back nokia
Washaitosa hawatoi hizo simu tenaMbona wana OS ya windows
Bei nzuriDola 192 mkuu
Yap!Bei nzuri
Kila kuna mnyama vivo apex anakuja March ni nomaYap!
Kutoka Nokia mkuu?Kila kuna mnyama vivo apex anakuja March ni noma
Ok, ngoja nicheck hii link.
Shilingi ngapi za kitanzania?Simu ambayo Nokia wameilenga ili wapate pesa nyingi ni NOKIA 7 plus hii simu itakuja na battery yenye mAh 3850 li-on advanced itakuwa uwezo wa kukaa na chaji siku 2
Kuhusu camera ndiyo balaa zaidi itacompete na flagships.naisubiri hii simu kwenye mwezi july
hiyo simu ni shilingi ngapi?kwa simu za jana walizotoa Nokia my favourite ni Nokia 7 plus.
-Flagship camera
-perfomance kubwa karibia na flagship
-bei isiyoumiza kichwa.
wakiitangaza vizuri itauza sana.
Bei bado haijawa official subiri mwezi April itakapoingia sokoniShilingi ngapi za kitanzania?
around laki 8 hivihiyo simu ni shilingi ngapi?
Mkuu kwema kwa Arusha wapi nitapata genuine Iphone kuacha kwa Benson pia kwa DSM wapi naweza pata hii kituSimu iphone nyingine ni makapi tu