siridhiki na weupe wangu

Muuza Sura

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,985
Reaction score
1,354
japo nimezaliwa na rangi ya mitume lakini nimejikuta natumia muda mwingi kutumia masabuni na mafuta flani ili nizidi kuwa mweupe..natakiwa nifanye nini ili niridhike na rangi yangu?
 
kaa ww ni she njoo tuchanganye rangi tutoe kitu ilotulia ila kama wewe ni he mmmmh....no coment
 
mwanamke weka hizo nakshi nakshi!!!! hebu tupia fair n' white uje unipe majibu hapa....... ni bei kdg lkn jinsi utakavyopendeza siri yako!!!!
 
mwanamke weka hizo nakshi nakshi!!!! hebu tupia fair n' white uje unipe majibu hapa....... ni bei kdg lkn jinsi utakavyopendeza siri yako!!!!
si mwanamke huyo
 
mwanamke weka hizo nakshi nakshi!!!! hebu tupia fair n' white uje unipe majibu hapa....... ni bei kdg lkn jinsi utakavyopendeza siri yako!!!!

mimi wa kiume wangu!mazaga nayotumia naona nang'aa ila vidole vimekataa vinakuwa vyeusi!...nikishindwa kuacha itabidi hiyo fair n white ihusike kinyamwezi!
 
mimi wa kiumeni mzazi!..addiction tu ya kuongeza mauzo

Mauzo mfuko tu Mzazi, hata ukiwa na sura kama kifaru utaitwa handsome.

Achana na ujinga huo utakucost baadaye, hivi bado hamjajifunza kwa marehemu Tx Moshi William?
 
Haaa, pole wakiume unapaka mkorogo ili iweje kwani,
Tafuta pesa achana na hayo makitu.
 
Mauzo mfuko tu Mzazi, hata ukiwa na sura kama kifaru utaitwa handsome.

Achana na ujinga huo utakucost baadaye, hivi bado hamjajifunza kwa marehemu Tx Moshi William?

respect mzazi matola!mwanao ndo nipo katika harakati za kuachana na haya mambo ndo maana nimeweka mambo hadharani ili niyapotezee mazima!leo nimeamka asubuhi bab kujiangalia kwenye vinundu vya vidole full black, nimeona siyo inshu kabisa
 
Doo assaalalee! Ningejua mapema ww ni Me and then unafuta mipuro either kujikwatua nisingetia maguu hapa!
Kwa hiyo sina ushauri wa wazo ktk miondoko hii. Labda subiria watakuwepo wenzio probably, mtajuzana.
Sitoshangaa siku ukija na Thread ya kutoridhika na kimo ulichonacho! Ukatamani urefu/ufupi
Over & out !
 
mimi wa kiume wangu!mazaga nayotumia naona nang'aa ila vidole vimekataa vinakuwa vyeusi!...nikishindwa kuacha itabidi hiyo fair n white ihusike kinyamwezi!

we me unahangaika na carol dada!!!""" mpyuuuuuuu hebu kazana kutafuta hela..... nyie ndo mnao lia lia ovyo keep in mind mwanaume hasifiwi sura wala uzuri ni pesa yako tu!!!!
 
we me unahangaika na carol dada!!!""" mpyuuuuuuu hebu kazana kutafuta hela..... nyie ndo mnao lia lia ovyo keep in mind mwanaume hasifiwi sura wala uzuri ni pesa yako tu!!!!

pesa nnayo
 
watu wa kiume wanaopenda kujikoroga wanaitwa .............................?
nakuomba bro achana kabisa na hayo mambo kwani hayaleti heshima yyoyote kwako
na ndo kwanza yanakuletea majanga tu hivyo kuwa kama wewe usitake kuwa kama yule

hebu muone mwenzio huyuView attachment 115527kwani hataki kujipodoa na pesa anazo tele
 
Hata mimi siridhiki na weusi wangu nataka niwe mweusi zaidi, nifanyeje?

Halafu we kaka muuza sura nawasiwasi na uanaume wako au unaimba ndomboloo!!!????
 
Hata mimi siridhiki na weusi wangu nataka niwe mweusi zaidi, nifanyeje?

Halafu we kaka muuza sura nawasiwasi na uanaume wako au unaimba ndomboloo!!!????

mimi ni kidume ila ndo nimejikuta katika majanga haya ndo maana nataka kuacha..asilia mimi ni mweupe sema niliongezea ufundi kidogo ndo naona umeniharibu kiaina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…