Siri za wanaume zinazowakera wanawake

Yote tisa! mi kwa upande wangu huwa sipendi mpenzi wangu anidanganye! Hilo kwangu ndo kosa kubwa kwa kuwa najua akinidanganya kuna kitu kingine kisicho chema ndo maana ya yeye kusema uongo.
 
Lizzy labda nikuulize swali, hivi uliwahi kusoma kitabu kinachoitwa Men from the Mars and Women from Venus............? Sijui kama nimepatia hilo jina la kitabu, lakini naamini utakuwa umewahi kukisikia.
Hicho kitabu kina mengi ya kujifunza juu ya tofauti zetu, kati ya wanaume na wanawake................

hicho kitabu kizuri sana kinasaidia kujua tabia za wanaume na wanawake at the same time
 
Ngoja nimshirikishe mamsapu wangu hizi tabia zetu. Maana hizi namba 1 & 2. Huwa zinamsumbua sana. Labda atanizoea
 
Back
Top Bottom