Siri za wafanyabiashara

Siri za wafanyabiashara

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,026
KUNA MBINU NYINGI ZA KUFANIKIWA KIBIASHARA AMBAZO UNAWEZA KUFUNDISHWA NA WAFANYABIASHARA WALIOFANIKIWA LAKINI HAWATOKUELEZA JINSI WANAVOFANYA MBINU ZA KUKWEPA KODI YA SERIKALI(MF:KUTOTOA RISITI),HAWATOKUELEZA JINSI WANAVYOWANYONYA WAFANYAKAZI(MF:KUTOKUWAPA MIKATABA YA KAZI,NA KUTOWALIPA KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA),ongezea nyingine mdau
 
Hakuna kitu nafurahi kama kumsaidia mtu na kumuelekeza hasa kama anataka kukopi nilikopitia ili nae apate walaupo ugali. Ntamuonesha na kumuelekeza njia zote kuanzia mtaji gharama na matumizi na jinsi ya kuwasiliana na wakatisha tamaa.

Kuna jamaa mmoja alikuwa anaenda China kuchukua Vito na kuja kuuza bongo. Dada mmoja alikuwa mteja wake akatamani biashara za China akamaliza yule kaka nae akampa maelezo na njia zote. Kumbe dada anajipanga akakufanya mtaji masoko ila yeye alikuwa aende kununua vitu vingine tofauti na vito ili aje kuuza. Walikuwa liana waondoke pamoja ili jamaa kwakuwa yeye nj mzoefu akamuoneshe mitaa ya kununua vitu kwa bei rahisi dada anajigharamia kila kitu.

Hee...siku ya siku kwanini jamaa asimtoroke bidada.... bidada kwakuwa alitia nia kwenda kujaribu biashara alipata watu wengine wakamulekeza lakini ndo alikuwa anasafiri mwenyewe. Akaondoa woga akaenda akarudi, kule hakupata shida maana akikutana na mtu akamsaidia na akawa rafiki yake. Ofcourse alikuwa wa jinsia ya kiume.

Aligundua ugumu wa biashara za China na wengi wao walikuwa wanafanya kwa madili ili wapate faida vinginevyo hasara.

Si wafanyabiashara wote watakwambia siri zote za biashara wengine hawajiamini wanahisi utawaibia wateja nao watakosa kuuza.
Wengine hawataki kukueleza ukweli kuwa wanapata faida wakakukatia tamaa ili usijefanikiwa kama wao. Wengine wanakudanganya biashara ipo na inalipa ili uingie kichwa kichwa upo tele mtaji wako kama wao walivyopoteza kwa mara ya kwanza....

Wengi ni wafitini. ....

Anyways ngoja waje watiririke...
 
uliyosema ni kweli na nishayaexperience juzjuz tuu nilipofanya biashara fulani,mtu aliyenisaidia mara ya kwanza kwenda kuchukua mzigo na nikaja kuuza town alishindwa kupokea simu zangu nilipotaka niende kwa round ya pili,nadhani aliona namuongezea competition,anyway namshukuru kwa kunihelp ile round ya kwanza nilijifunza mengi.
 
Hakuna kitu nafurahi kama kumsaidia mtu na kumuelekeza hasa kama anataka kukopi nilikopitia ili nae apate walaupo ugali. Ntamuonesha na kumuelekeza njia zote kuanzia mtaji gharama na matumizi na jinsi ya kuwasiliana na wakatisha tamaa.

Kuna jamaa mmoja alikuwa anaenda China kuchukua Vito na kuja kuuza bongo. Dada mmoja alikuwa mteja wake akatamani biashara za China akamaliza yule kaka nae akampa maelezo na njia zote. Kumbe dada anajipanga akakufanya mtaji masoko ila yeye alikuwa aende kununua vitu vingine tofauti na vito ili aje kuuza. Walikuwa liana waondoke pamoja ili jamaa kwakuwa yeye nj mzoefu akamuoneshe mitaa ya kununua vitu kwa bei rahisi dada anajigharamia kila kitu.

Hee...siku ya siku kwanini jamaa asimtoroke bidada.... bidada kwakuwa alitia nia kwenda kujaribu biashara alipata watu wengine wakamulekeza lakini ndo alikuwa anasafiri mwenyewe. Akaondoa woga akaenda akarudi, kule hakupata shida maana akikutana na mtu akamsaidia na akawa rafiki yake. Ofcourse alikuwa wa jinsia ya kiume.

Aligundua ugumu wa biashara za China na wengi wao walikuwa wanafanya kwa madili ili wapate faida vinginevyo hasara.

Si wafanyabiashara wote watakwambia siri zote za biashara wengine hawajiamini wanahisi utawaibia wateja nao watakosa kuuza.
Wengine hawataki kukueleza ukweli kuwa wanapata faida wakakukatia tamaa ili usijefanikiwa kama wao. Wengine wanakudanganya biashara ipo na inalipa ili uingie kichwa kichwa upo tele mtaji wako kama wao walivyopoteza kwa mara ya kwanza....

Wengi ni wafitini. ....

Anyways ngoja waje watiririke...
33664857.jpg
 
Ni kweli kabisa mdada,
 
thank you, kassie...for the roadmap
unafanya iyo?
 
Imenitokea jana, nimeandaa mzigo jamaa kaja na lugha nyingi mwisho wa siku kanikatisha kabisa tamaa, ila bado napigana na nitafanikiwa tuu,,,,according to napelion..the word imposible found only in a dictionary of fool,,, i will make t
 
Wafanyabiashara wengi wa kiafrika hawawezi kukueleza siri ya mafaniniko yao kwa sababu wengi wanapitia njia za mkato na zisizoeleweka, mfano wizi,ujambazi na dawa za waganga wa kienyeji,njia atakayokueleza wewe ukiifata hata ufanyeje haufiki sababu inaishia katikati.
 
Na nyie kuweni wabunifu. Umeona nauza
Bidhaa fulani unakuja tu na mimi nataka kufanya biashara hii nielekeze wapi unachukua mzigo, kirahisirahisi tu.

Kuna siri za biashara. Kupata 'source' sio kitu rahisi, inachukua muda na research ya muda mrefu zikiwemo hasara mpaka unakutana na source inayofaa.

Sasa sio unakurupuka tu unataka nikupe source yangu ya bidhaa ili na wewe uje ufungue biadhara hio hio next door.
 
Sawa kabisa. Mwisho wa siku utalaumu mtu kakuingiza chaka. Fanya utafiti wako kabla ya kuingia kwenye biashara yoyote.
Bora uanze kivyako ili upate uzoefu wako mwenyewe. Sio kila utakachoambiwa kitafanikiwa kwako.
 
Sawa kabisa. Mwisho wa siku utalaumu mtu kakuingiza chaka. Fanya utafiti wako kabla ya kuingia kwenye biashara yoyote.

Ndo wale watu wanasikia mfano, kilimo kinalipa, halafu anakurupuka anaingia bila kufanya utafiti na kujipanga. Akipata hasara anaanza kulaumu au kusema fulani anatumia nguvu za giza kufanikiwa. Au anasikia fulani anauza asali kwenye nchi za EU na yeye anakurupuka anataka connection. Ukimpa kesho yake akashindwa masharti ataanza kupondea.
Biashara zina siri ndio, na hakuna alie tayari kukupa hizo siri zake. Na hata akikupa hutafanikiwa kama yeye kwasababu utaishia kucopy kila kitu. Utakosa ubunifu.
 
Back
Top Bottom