B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 995
- 1,962
Kuna nyaraka yaan PDF taarifa za CIA, Freemason, vitabu vilivyotolewa kwenye biblia, new world order, jinsi ya kutengeneza dawa za mitishamba.Fafanua kidogo...
Anhaa! Sasa nimeelewa.Kuna nyaraka yaan PDF taarifa za CIA, Freemason, vitabu vilivyotolewa kwenye biblia, new world order, jinsi ya kutengeneza dawa za mitishamba.
Tuseme tu ni siri za dunia wasizotaka huzijue
Hii ni baada ya kumua alietaka kuziachia izi nyalraka juzi Joe Felz. Alikua whistle brower Chukua nyaraka zaki mapema
Niletee pdf za CIA google tu diwnloadHizo siri unazosema zimefichwa, mbona zipo Google tangu mwaka 2010?
Niletee pdf za CIA google tu diwnloadHizo siri unazosema zimefichwa, mbona zipo Google tangu mwaka 2010?
Ukinyoosha maelezo wanafut uzi. Nimepost uzi jukwa la hoja mchanganyiko naukuta kwenye matangazo modogiAnhaa! Sasa nimeelewa.
PDF za CIA uzi-download hapa? Are you serious? Hizi siri za ulimwengu unazozisema kumbe hata CIA Reading Room huijui? Google tu CIA FOIA Electronic Reading Room kila kitu kipo wazi kule.
Ungetembelea web utaelew. Kinachoendelea dunian. Ni whistlebrower kaamua kuvujisha Document kwenye io website. Search Joe Felz utaelew usikaz fuvuPDF za CIA uzi-download hapa? Are you serious? Hizi siri za ulimwengu unazozisema kumbe hata CIA Reading Room huijui? Google tu CIA FOIA Electronic Reading Room kila kitu kipo wazi kule.
Eti whistleblower? Hivi unajua maana ya whistleblower kweli au umekariri neno? Joe Felz alikuwa anadigitize vitabu vya kale vya dini na mambo ya free energy, hakuna nyaraka za siri za serikali hapo. Stop panicking for nothing!Ungetembelea web utaelew. Kinachoendelea dunian. Ni whistlebrower kaamua kuvujisha Document kwenye io website. Search Joe Felz utaelew usikaz fuvu
Ila wabongo bana. Panicking imetoka wapiEti whistleblower? Hivi unajua maana ya whistleblower kweli au umekariri neno? Joe Felz alikuwa anadigitize vitabu vya kale vya dini na mambo ya free energy, hakuna nyaraka za siri za serikali hapo. Stop panicking for nothing!
We huwez elewa mindset z UVccm una shida sanaEti whistleblower? Hivi unajua maana ya whistleblower kweli au umekariri neno? Joe Felz alikuwa anadigitize vitabu vya kale vya dini na mambo ya free energy, hakuna nyaraka za siri za serikali hapo. Stop panicking for nothing!
Hakuna anayekukataza kusoma, nenda chimbo ukasome vizuri! Ila ukweli utabaki palepale, umelubuniwa na scam ya mtandaoni inayovuma na kudhani umeigundua Marekani. Ukimaliza kusoma hivyo vitabu vya mitishamba, uje ututengenezee na dawa ya kuondoa ujuaji!Ila wabongo bana. Panicking imetoka wapi
Kuna kitabu nilikua nakitafta ngoja niingie chimbo nitafte mitishamba nianze kazi . Ivo vitabu ww ungevitoa wap. Vina madini ndo maana wanataka kuvipoteza
View attachment 3648900View attachment 3648901
Naini akuruhusu uanze kutumia mitishamba. Viwanda vyao vya dawa viyumbe.
# Point hapo ni kuna taarifa nyingi kwenye vitabu ambavyo hawapend watu kuipata . Kuna madini mengi kwenye vitabu
Hahah umeishiwa hoja na wala hauwezi kuwa na hoja mdogo wangu, kubali tu umeingia kwenye mtego wa conspiracy theories za mtandaoni na tovuti feki, mambo ya vyama yanatoka wapi hapa? Stick to the topicWe huwez elewa mindset z UVccm una shida sana
Tatizo lako una take mambo personal. Whistlebrower sisi tunachukulia kama msanuaji. Ishu y kupata nyaraka za CIA mbona kawaid sana kina John kiakou wanaziachia kule dark web, epstein file zote zpo kule ndichi . Wewe umezoea kutumia google ukazani ndo taarif zote zimo umo. Kun vitu vinaitwa classfied information vinafichwa from public knowledge. Sema kam unatak video z trump nikutumieHakuna anayekukataza kusoma, nenda chimbo ukasome vizuri! Ila ukweli utabaki palepale, umelubuniwa na scam ya mtandaoni inayovuma na kudhani umeigundua Marekani. Ukimaliza kusoma hivyo vitabu vya mitishamba, uje ututengenezee na dawa ya kuondoa ujuaji!
Eti faili za Epstein zipo Dark Web? Zile nyaraka zote za kesi ya Epstein zilitolewa rasmi na mahakama ya Marekani na zipo kwenye mtandao wa kawaida kila mtu anazisoma. Sio kila faili la siri lipo Dark Web, mengine yapo wazi sema tu wavivu wa kusoma hamuyajui!Tatizo lako una take mambo personal. Whistlebrower sisi tunachukulia kama msanuaji. Ishu y kupata nyaraka za CIA mbona kawaid sana kina John kiakou wanaziachia kule dark web, epstein file zote zpo kule ndichi . Wewe umezoea kutumia google ukazani ndo taarif zote zimo umo. Kun vitu vinaitwa classfied information vinafichwa from public knowledge. Sema kam unatak video z trump nikutumie