Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 920
- 2,635
Kwa wanaofuatilia mwenendo wa Bunge kwa sasa ikiwa ni pamoja na azimio feki la Bunge dhidi ya CAG watakuwa wamebaini namna NDUGAI ambaye ni Spika wa Bunge alivyojitoa kinagaubaga kuwa mbabe na mwenye kejeli kubwa hali inayoashiria kuwa kuna kitu anakitafuta au anataka kumridhisha mtu fulani.
Habari za uhakika ni kuwa NDUGAI anafanya yote haya kumplease Kiongozi Mkuu ili ampe kibali cha kusafiri Nje ya Nchi. Hivyo amefanikiwa kupata kibali ambapo WEEKEND hii atasafiri kwenda MUSCAT - OMAN, DUBAI na Kisha STOCKOLM SWEEDEN.
Msafara wa NDUGAI unahusisha, walinzi wake wawili, wasaidizi wawili na daktari wake kwa sababu kama mnavyojua huyu jamaa bado ni spana mkononi.
Gharama za ziara hii ni takribani shilingi milioni 234. Hivyo ilikuwa lazima ajikombe kwa Bwana Mkubwa ili kibali cha safari kitoke.
Sasa kwa kuwa amemwaga mboga kwa kuanza kutaja madeni ya watu, tunaleta hapa gharama za matumizi yake akiwa matibabu India ambapo gharama ni za kughushi, tutaleta madeni yake hapa na gharama za uongo za safari ambazo amekuwa akifanya. Ndio sababu anamuogopa CAG.