MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
- Thread starter
-
- #41
hapo patamu wanaa! duh! mademu kwa kuanika bwabwa kwa walaji ni noma cjui huwa wanataka ninii,na hii ndo hupelekea wao kukatwa sana na machizi, weaknes za mume unaztupa kwa madowezi unategemea nini ni lazma watakula kolikoli hadi wampate ili nao wakatangaze aah! mume wa vella! mbna harukii! upande wa walume hyo siyo sana kumsema mwenza na hii ni kuficha ili vidume vngine visije faida dikodiko zako, japo men hujsifu walapo MTANDAO kwa vimada.
ehe hebu come again? Asa hapo haogopi kupindiliwa? Duh kumbe kuwa kimada noma mazee
Si kwa wanawake tu,HATA WANAUME.Hii ni kwa wanawake tu.
Ukiona mwanaume anaongelea ujue ni kimada chake amekula mzigo kwa hiyo anawasimulia jamaa zake lakini wife never.
Si kweli.Mara nyingi wanaume huwa hawaogopi kupinduliwa kimada, ishu kupinduliwa mke!!
hapa nilijua tu kuna members NEVA MISS!
1-fidel 80
2-nyani ngabu
3-
4-
Geoff, list iendelee
hata wanaume husimuliana ila tuna mipaka. Sio siri za waif bali za wakata kiu tu.
Ni kweli Nyani nakubaliana nawe kwa sababu hata mie katika pitapita yangu sijaona mwanaume mwenye tabia hiyo isipokuwa kwenye filamu kama ya Tyler Perry Why did I get married
Mambo ya ndani ni aibu kuyasema. Halafu ukitaka kumjua mwanamke mchongimchongi mbona easy!!!! Utaona tu katika relation, anakuletealetea umbeya wa huko saloon na kwingineko. We muulize tu, unayajuaje haya kama wewe huchangiii??? Asilimia ya wengi wa akina mama huwa si wasiri kwa mambo mengi, labda siri yake kubwa ni kama anamegwa nje hivyo hatasubutu kusema, naamini.
Mimi bwana siri yangu ni yangu hata kwa mke si rahisi aipate hii unless siri hiyo kama itakuwa na mafanikio kwake, halafu siwezi eleza njemba mambo yangu ya ndani na mke wangu wala kimada kama angekuwepo.
Ila nimeona wanaume wengi huwa tunafanya makosa sana unapopata hawara wengine wanatafuta cheap way ya kueleza udhaifu wa mke wake ila hawara amkubali. Hii ni mbaya sana. Ukipata farasi lako, panda na mchezo unakwisha, hakuna fungua mdomo wa mambo yako ya private man.
Mwanajamiione una kigezo kimoja......umeshapata PM yangu?Duh kumbe hata makazini ipo!! This is serious mimi nilikuwa najua masalunini tu maana kuna siku nilicheka hadi leo nacheka ninikubuka. Mama mmoja alikuwa anasimulia vituko vya mumewe kuwa ni mlafi yaani akipita binti mweupe hata kama hana shepu(akawa anatolea mfano kwangu!! duh) mumewe macho yanamtoka kama kamezwa na chatu. Baada ya kumkandia hapo akajishuku mwenyewe ati lakini simlaumu sana maana kwa level na speed yake mie simwezi kila siku ananiacha hoi hata anapomaliza mimi huwa sijitambi !!
Nilichoka!!
5.Nyamayao
haaa mbona hukuni sms swity kuniambia nichungulile humu?Lol...