Siri za Lipumba, NEC zafichuka

Ni kawaida sana mtu akiamua kupigania tumbo tu basi ujue neno aibu hana

In God we trust
 
Hujaelewa , yaani haya majina mapya yaliyotangazwa kumbe ni majina ya kuokota tu , hayahusiani na yale yaliyopelekwa na cuf tume mwaka 2015 kabla ya uchaguzi .
Kwa taarifa hii kuna uwezekano wa wabunge hawa wa lipumba wakapingwa kwani hawapo kisheria

In God we trust
 
Mkuu kamwe njaa haijawahi kumwacha mtu salama

In God we trust
 
Source :Mwanahalisi

Mmiliki: Kubenea

Hivi karibuni: kubenea atangaza vita ya kumg'oa Lipumba ofisi za Buguruni

Onyo:Ni aibu kwa great thinkers kujadili uzushi kutoka kwa mtu mwenye elimu ya hapa na pale.

Kwa Hiyo Hii Habar Ilitakiwa Itoke Tbc Na Gazet La Uhuru
 
Source :Mwanahalisi

Mmiliki: Kubenea

Hivi karibuni: kubenea atangaza vita ya kumg'oa Lipumba ofisi za Buguruni

Onyo:Ni aibu kwa great thinkers kujadili uzushi kutoka kwa mtu mwenye elimu ya hapa na pale.
Lipumba amtishia kubenea adai apangwe ulingoni amtoa nock out yeye na refa wao maalim seif halafu unategemea mini.......tutoleeni vipeperushi. Team baby travel to KIA
 
Source :Mwanahalisi

Mmiliki: Kubenea

Hivi karibuni: kubenea atangaza vita ya kumg'oa Lipumba ofisi za Buguruni

Onyo:Ni aibu kwa great thinkers kujadili uzushi kutoka kwa mtu mwenye elimu ya hapa na pale.
...Kila siku mnasema ana elimu ya hapa na pale but yet ameweza kuendesha magazeti yake very successfully. Wewe msomi umeshawahi hata kuandika kipeperushi na kupata followers?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…