Mimi Bado sijakuelewa.. unajua ngoja nikwambie ndugu....... Unapoandika jambo Fulani hakikisha linaeleweka na linawafikia vema wasomaji...hata kama lipo kwenye fumbo..... Usiandike Kwa kufikirika as if sisi tuko tumboni mwako kiasi kwamba tunakiona kile unachofikiria na kukiandika hapa..