Hahaha mtasubiri sana wao wanatekeleza ILANI yao, hayo hayajatajwa na hayamo kwenye ILANI, wale ma prof walisema kuna madini mengi sana nadhani vikosi maalumu vya jeshi vinalinda makinikia, ule ndio urithi tutakaoupata hawamu ya tano, yanasubiri simelta yetu ije isimikwe pembeni ya ikulu, ili kila kinachoyeyushwa kionekane. Na kutakuwa press conference kila kilo moja ya makinikia itakavyokuwa inatema tani za madini. Acheni haraka tunaye super watchman hapepesi kope na hatuibiwi tena, mnakumbuka nchi hii ilikuwa inaibiwa na kuchezewa sanaaa. Sasa tumekomesha wizi na michezo. Hapa kazi tu.