Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
ukweli mtupuMkuu, hongera sana kwa kuvuta jiko from Tanga.
Naambiwa Tanga raha sana, hasa ukipata bibi kutoka Mkoani Tanga.
Nikasimuliwa wamama wale si haba kwa mapishi, makatiko na hata maji ya kuoga wamama wa Tanga huyatia viungo...