Siri ya Ushindi wa Simba pichani

Siri ya Ushindi wa Simba pichani

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Eti ni kitambaa cheupe cha goalkeeper Ivo Mapunda! Acheni imani potofu! Simba kiwango bana!
1421184948861.jpg
 
Yule babu aliyekuwa anakunywa maji uhai na kibarakashia na nani vile?
 
Simba mnanikumbusha usemi" Masikini akipata matako hulia mbweta". hongereni kwa kombe la mbuzi
 
Simba mnanikumbusha usemi" Masikini akipata matako hulia mbweta". hongereni kwa kombe la mbuzi

Simba sio ajabu kupata, kama kombe mbuzi mmeshindwaje hata kufika nusu fainali! Yanga acheni maneno ya mkosaji!
 
Back
Top Bottom