Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Habarini za jioni,
Nimekuwa nikijiuliza sana, kila panapokuwa na vikao au mikutano mikubwa ya CCM, Prof Lipumba huwa hachezi mbali, either kwenye mahoteli walimo makada wa CCM au huonekana akirandaranda na begi lake (lililojaa visivyoelezeka) viunga vya CCM wanapofanyika mikutano mikubwa au vikao vyenye mabadiliko makubwa.
Huwa n mwalikwa, mshauri au mbonu mkakati za "kuchota huku, kupeleka kule"? Mara nyingi sana huyu leprofesa huwa anaonekana Dodoma kunapokuwa na vikao nyeti. Nini tafsiri yake?
Kama anazidi kuasi tujue.