Siri ya Pinda kunusurika

Siri ya Pinda kunusurika

Huyo makilagi anajikweza sana,hii ni kutokana na namna alivyobebwa kutoka kwenye kuwa mfagiaji wa ofisi ya wilaya ya ccm,kwenda mpaka UWT taifa, hadi kuwa mbunge na hatimae katibu wa wabunge wenzie.yote hii ni kazi ya Nimrod Mkono, hivyo mama yuko radhi kuitetea serikali hata kwa gharama ya damu za wa Tz.
Kuna uhusiano gani Mkono na huyu Amina?weka wazi mkuu
 
Kuna uhusiano gani Mkono na huyu Amina?weka wazi mkuu
siyo tu kuwa wanatokea mkoa mmoja (Mara),bali wana mahusiano ya karibu saaaaaaana, ila siyo mahusiano ya kaka na dada.mkuu nafikiri unaweza pata picha.
 
Yote ni mizigo tu! Serikali yote ijiuzulu twende kwenye uchaguzi mkuu! Hii ndo hatua inayoeleweka sio kuweka viraka!
 
Hapa tatizo ni prezidaa wa mtandao,walijiita 'boys to men"sasa waponda maraha hawa watakuwa na habari na wachovu wa nchi hii?kauli mbiu yao ni PONDA RAHA KUFA KWAJA.
 
Hakyanani kwa hawa maccm? ni kama jino bovu dawa ni kuling'oa tu!
 
'Tumefika hapa kwa sababu ya rais dhaifu na wabunge dhaifu wa CCM'.

J.J.Mnyika
 
-------- siku zote huwa hjijui kuw ni mpumavu! So keep on being mpumbvu.
kuku maji wewe, thanks God akili yangu inaweza kujisimamia yenyewe sio wewe bendera fuata upepo!!
 
Back
Top Bottom