Siri ya namba saba (7)

Wee mtoa uzi umelishwa matango pori huko madrassa, halafu unataka kutupotosha tusioabudu shetani la kiarabu.
Madrasa wanafundisha kumuabudu Mungu mwenye sifa ya kuwaumba kina Ibrahim,Yohana,Musa,Daudi,Bikira Maria mchungaji wako Gwajima,malaika na shetani uliyemtaja.Tuambie Mungu wako ana sifa gani?
 
Madrasa wanafundisha kumuabudu Mungu mwenye sifa ya kuwaumba kina Ibrahim,Yohana,Musa,Daudi,Bikira Maria mchungaji wako Gwajima,malaika na shetani uliyemtaja.Tuambie Mungu wako ana sifa gani?
JIWE halinaga uwezo wa kuumba.
 
Wanasemaga na mimba nayo huweza kutambulika na madaktar siku ya saba baada ya tendo
..............na mtoto akiwa na miezi 7 tumboni anaweza kuishi akizaliwa (njiti) kuliko wa miezi 8 au hata tisa kasoro
 
Ugumu unakuja kwenye kuthibitisha hayo mengine ambayo yamo kwenye imani yako na wengine hatujawahi kuyaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…