Siri ya namba saba (7)

Mbona hakuna mantic yoyote ya namba hizo? Kwa mantiki hiyo kila namba ni ya ajabu.
Macho 2 mikono 2 miguu 2 binadamu mke na mme matako 2 midomo 2

Ulimi 1 siku 1 mwaka 1 mwezi 1 kichwa 1 shetani 1 Tanzania 1

Mafiga 3, 1+2=3 bajaji ina mataili 3

Wewe huni kila namba inavitu vyake? Umedanganywa uadanganyika.

Dakika ina sekunde 60 saa inadakika 60 siku ina masaa 24 wiki ina siku 7 nk.

Mbona hushangai hayo.
 
na mtoto anaweza kuzaliwa akiwa na miezi 7
 
Hau
Hakuna maajabu yoyote hivyo vitabu vimeadikwa na watu ndo maana unaona namba zinafanana...stuka mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…