Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
pia wale wengine wakiua wenzao huandaliwa mabikra 7Ongezea! Mungu alipumzika siku ya 7
Ni 70 mkuu, sio 7pia wale wengine wakiua wenzao huandaliwa mabikra 7
baada ya kujadili hoja unaleta ujingapia wale wengine wakiua wenzao huandaliwa mabikra 7
Milango ya fahamu sio 5 kijana, jiendeleze kwa kusoma mengi sio yale ulokaririshwa!mbona hata 5 ina maajabu? Vidole 5,milango ya fahamu 5,kitanda ni 5,kwa 6, tuko awamu ya 5 rais, nipe 5 salamu, maajabu meng tu
Umekamilika na kuna uwezekano hutaolewa kwa sababu umekamilika!Mimi ninezaliwa tarehe 7!!!
Yataje ili tukuoneshe kwamba yamebaki machache sana!Pia kitabu cha ufunuo kuna mapigo 7 yatakayoukabili ulimwengu! Tujiandae