Kuwa bilionea ni kuanzia sh ngap vileBillionaire Makonda
Kuwa bilionea ni kuanzia sh ngap vileBillionaire Makonda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lamu"Marinda" test
Huyu Makonda anajenga msikiti hapo Dar kwa Billion 5,Kuwa bilionea ni kuanzia sh ngap vile
Ndio maana kumbe sehem gani nasikia lkn hana katotoHuyu Makonda anajenga msikiti hapo Dar kwa Billion 5,
Unadhani atakuwa kabaki na billion ngapi?
Amfunge tu! Kufanya hivyo ni kuruhusu maisha mengine yaendelee! Ila mwisho wa siku,ile bendera tutaongeza doa jekundu! Ili watanzania akili zitukae.Makonda kiboko ya majeuri...plz Mboe itikia wito unajitafutia matatizo Gwajima na Manji wameenda wenyewe tu kilichowakuta umeona.
Sasa ww mwenyekiti wangu unamdharau RC yatakukuta ya Lema.
Kuongeza rangi nyekundu la uongezee kwenye shuka lako lililochakaa la kijaniAmfunge tu! Kufanya hivyo ni kuruhusu maisha mengine yaendelee! Ila mwisho wa siku,ile bendera tutaongeza doa jekundu! Ili watanzania akili zitukae.
Kwa sababu wenzake wote wameenda kwanini Mbowe hataki??? jamaa anauza sembe huyu nina mashaka naeAmfunge tu! Kufanya hivyo ni kuruhusu maisha mengine yaendelee! Ila mwisho wa siku,ile bendera tutaongeza doa jekundu! Ili watanzania akili zitukae.