Siri ya mtu, ipo moyoni.

Siri ya mtu, ipo moyoni.

Mapenzi ya karne hii muda mwingine si ya kuingia na miguu yote miwili, mmoja nje moja ndani. "Hizi baby i love you too, i love you too" usivimbe kichwa na kuamini asilimia mia. Siri ya mtu, ipo moyoni.
#RaiaMwema
Pole mkuu ndio mioango hiyo ishakutokea sasa ufanyeje
 
Siri ipo ndani ya moyo wa mtu lakini kama wewe ni mpenzi wako unaweza kujua mwenzio anawaza nn
 
Tatizo wanaokupenda wewe huwapendi,na unaowapenda wewe hawakupendi.Chukua hatua na fanya maamuzi.
 
Back
Top Bottom