Wazo lako zuri ila kiswahili loh!
Get a life kijana. Hizi chuki zako zitakuua weweMarekani ni source of all evil hapa duniani, na yote kwakuwa anataka kumaintain his supremacy so he needs money at any cost
.....Pumbavuuuuuuuuuu!!!! Kuna watu vichaa eeh hapa duniani?. Kila kitu Mmarekani ndo chanzo, sijui ni nani kawaroga mijitu ya aina hii?
Eti, wanakamatwa Masheikh na wengine kuuwawa ili wachukue Rasilimali vizuri, hata mtoto mdogo hawezi kuwa na mawazo ya kipuuzi mithili hii. Kwani wasimamizi wa Rasilimali za Taifa ni masheikh? Wengi wao ni mbumbumbu ajabu unadhani watasaidia hizo mali zisichukuliwe?
JK ambaye ndo Rais wa nchi hii na ndugu yenu kiimani mbona hawasaidii kama mnahisi mnaonewa? Hata ningekuwa mimi ndo Rais kisha Muislam halafu Masheikh wote wauliwe au wakamatwe(kama unavyodai) kwa uzembe au makosa ya kujitakia, ndo kwanza ningechekelea.
........Ni mtazamo tu!!
mkipigania mali za wote kutoka mtwara hadi kagera, mbeya,kilimanjaro, tanga na kigoma ntawaunga mkono.Wimbi la kukamatwa masheik na wengine kuuawa na watu wasiojulikana limeshika kasi duniani hususani tanzania ikiwa hivi juzi kukamatwa kwa sheikh MADUGA wa morogoro maarufu katika kipindi cha mwangaza kwa jamii radio imaan.Tujiulize Kwanini Nchi Zenye Lasilimari Ambazo Haikupewa Uwekezaji Marekani Ndio Huwa Na Fujo Kupitia Mgongo Wa Waislam Katika Nchi Husika Basi Vitina Hizi Zinatengenezwa Na Mmarekani Ili Kujinufaisha Kiuchumi Kwa Kutumia Mtaji Mdogo Wa Wanajeshi Wake Kwa Kujifanya Anakuja Kulinda Amani Kumbe Anakuja Kuchukua Mali Ambazo Zitakua Hazina Mwangalizi Kwani Serikali Itakua Bize Na Wanaoleta Fujo Hilihali Wao Wanachukua Mali.Mbinu Hii Ya Kukamata Masheikh Na Kuwaua Ndio Iliyotumika Nigeria Kutengeneza Kundi Feki La Bokoharam Ambalo Athali Yake Ni Kuiyumbisha Serikali Ya Nigeria Hivyohivyo Kwa Isis Iraq Mambo Yashaanza Hapa Tz Wanakamata Masheikh Wakati Huo Hao Waalibifu Katika Mgongo Wa Ardhi Marekani Washaunda Kundi Ambalo Litaonekana Linapigana Kuwatetea Masheikh Au Kulipiza Kisasi Cha Kuuawa Au Kwa Kukatwa Kwa Masheilkh Wetu Hili Jambo Linatakiwa Liangaliwe Kwa Macho Matatu Kwani Nchi Hii Muda Si Mrefu Itaingia Katika Machafuko Kwani Viashiria Vikuu Vishajitokeza ~MAWAZO HAYAPIGWI RUNGU mwenye masikio na asikie
...basi tuseme uislam unachafuliwa na waislam wenyewe, kwa mifano uliyoitoa ya IS boko haram, al shabab etc, mi nina video za waislam nyingi zinazohamasisha machafuko, tena misikitini, na kama utahitaji naomba kwa kauli yako uniruhusu nizipost kwenye huu uzi