Mkuu Bujibuji, lakini huoni kwamba labda unawakwaza sana watu wenye Imani ya matambiko?
Kuna makabila kutambika ni jadi khasa, inasaidia sana mwendelezo wa ukoo kimila na kijadi.
Yaani ni lazima kukumbuka baba wa babu,babu, bibi wa bibi, bibi, shangazi, baba mkubwa n.k