Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,468
Andrew!Kwa hiyo Adam Weishaupt akaianzisha dini ya Illuminati kwa kutumia hizi keys pamoja na Caballa. Dini,imani ya Illuminati ni Keys na Caballa.
Just curious, Andrew, nini hobby yako?
Mkuu FJM,
naona Andrew anakuchanganya sana na manondo anayoyashushaga humu JF inafikia mpaka kutaka kujua Hobby yake,
inabidi umfate polepole utamuelewa tu, maana kuna siku alishusha nondo kama kurasa nne hivi za JF.
Msome mkuu anavitu adimu sana
huu ndio tunauita wivu wa kikeYeah_vingi ni vya uongo lakini.
huu ndio tunauita wivu wa kike
huu ndio tunauita wivu wa kike
Mda mwingine kumjibu mjinga yahitaji busara sana.,ujinga ni nusu ya mautiHivi kwa nini wanawake huwa pia mnapenda kujidharau...lakini pamoja na hayo huwa mnalalamika mnadharauliwa
Kwanza tuambie iluminati ni nini,maana umeongea kimkatomkato tu sijaelewa hapo!
Hii kitu ya Illuminati kama Andrew Nyerere alishaileta hapa!!!!!! na tukaishindwaahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa_chezea Andrea Nyerere wewe.
Mkuu FJM,
naona Andrew anakuchanganya sana na manondo anayoyashushaga humu JF inafikia mpaka kutaka kujua Hobby yake,
inabidi umfate polepole utamuelewa tu, maana kuna siku alishusha nondo kama kurasa nne hivi za JF.
Msome mkuu anavitu adimu sana
If it seems like it is evil ,it is because it is evil. Ndio tunasema there are some very,very bad people in the world who arevery,very powerful,we are all in trouble,ndio maana ya hizi revelations za hawa Illuminati which has now contaminated the freemasons. It is what the world financial crisis is is about.