Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,674
- 14,097
Sijakupata weka vizuri ?Kwani kila kitu ni SIRI?
Sema nini kweli viongozi wetu wana tumbua pesa mpaka sio poaWatu wanafanya kazi matokeo yake watawala mali za umma wanazitumia kwa anasa, bora tukose wote, unakuta DC/DED/DAS wanaenda safari moja kila mtu na V8 lake mafuta, posho yake na dereva, kwanini wasitumie gari moja na wote ni watumishi wa umma na wanaenda sehemu moja? Tanzania haina shida ya pesa ina shida ya matumizi mabaya na ufisadi, hakuna haja ya kufanya kazi
Wanasema mwenge una angaza amani😄Bila kuvunja maagano ya kiroho yaliyomo kwenye mwenge sahau kuinuka
Haya ni majangili tupuSema nini kweli viongozi wetu wana tumbua pesa mpaka sio poa
Ujinga ukiongezeka amani lazimaa iwepoWanasema mwenge una angaza amani😄
Hayana huruma na nchi hata kidogoHaya ni majangili tupu
Ni wananchi kuungana kwa pamoja na kufanya mabadiliko makubwaUmeandika ukweli mtu mtupu, nani sasa wa kuongoza hizo harakati manake kwa mataifa ya watu weusi ni adimu kumpata kiongozi mwenye moyo wa kuwavusha watu kama hizo tiger economy countries
AiseehUjinga ukiongezeka amani lazimaa iwepo
Rasilimali zinahitajika nguvu kazi zetu zoteUpo sahihi ila kwa rasilimali tulizonazo ilitakiwa kila mtu awe anakula kiyoyozi huko ulaya mda huu tupo vacation, we usiwaone waarabu wanataka kumiliki bandari tu, wanajua wanachokitafuta kina maslahikiasi gani
Tunao watu kama akina January makamba, Nape,Mwigulu n.k naimani watatupeleka huko.Umeandika ukweli mtu mtupu, nani sasa wa kuongoza hizo harakati manake kwa mataifa ya watu weusi ni adimu kumpata kiongozi mwenye moyo wa kuwavusha watu kama hizo tiger economy countries
Ni kweli tuna shida nyingi sana ndani yetu ambazo tunabidi kukubali kuzibali kwa njia yoyote ile inayowezekanaUkweli ni kwamba rasilimali watu wenye akili ndio Siri kubwa ya mataifa ya Ulaya,America na Asia kupiga hatua kubwa ya maendeleo.
Taifa la watu wajinga huzalisha viongozi wajinga maana kharamu haiwezi kuwa hali, ndivyo hivyo halali haiwezi kuwa kharamu,na waafrika tuna sifa ya ujinga ndio maana kila kitu ni hovyo ukitaka kuthibitisha hili angalia Tanganyika ya mkoloni na Tanganyika ya kina Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete,John na sasa Samia,angalia South Africa ya Makaburu na, sasa ya waafrika,angalia Zimbabwe ya mkoloni naya sasa waafrika ni mbingu ma ardhi katika nyanja zote.
Tungepata viongozi kama Emperor Meiji wa Japan au Deng wa China tungekuwa mbali sana katika bara hili.
HaaaaaaahTunao watu kama akina January makamba, Nape,Mwigulu n.k naimani watatupeleka huko.
Kuna vitu vyengine vipo ndani ya uwezo wetu wala sio kwa sababu hatuna akili kama hao wenzetu, ni watu ambao hatuna utashi na hatupo serious tu kwenye suala la maendeleo. Kuna watu wengi waliyokuwa na elimu na wapo vizuri kichwani ila kuingia serikalini tu wanabadilika inakuwa kama wameingia ulimwengu mwengine ambao hauhitaji hizo akili zake.Ukweli ni kwamba rasilimali watu wenye akili ndio Siri kubwa ya mataifa ya Ulaya,America na Asia kupiga hatua kubwa ya maendeleo.