LUCIFER
Senior Member
- Aug 14, 2012
- 183
- 88
Nawasalimu wana JF!
Kuna tukio ambalo si la kistaarabu kwenye soka,ingawa watu wa ndondi kwao inaweza kuwa sawa.Kama kuna kumbukumbu wakati ligi kuu ya Vodacom inaishia msimu uliopita kulitokea tukio la wahuni flani ambayo kwa bahati mbaya walibarikiwa kipaji cha kucheza mpira kumpiga mangumi muamuzi I. MKONGO kwa kile walichodai kuwa aliwapendelea Azam ambayo siku hiyo ilitoa kichapo kilichofanya wachezaji hao waingie kwenye fani nyingine 'NGUMI' AMBAYO KUTOKANA NA UCHUNGUZI WANGU HUENDA IPO KATIKA KATIBA YAO...hebu angalia hiyo nembo hapo chini
ukiangalia kwa makini utaona kuna picha ya boxer kwenye nembo hii...baada ya hapo nikajiridhisha kuwa YANGA ni klabu ya MABONDIA na kwamba wao hutumia mbinu yao mbadala wanaposhindwa kucheza,ambayo ni ubondia.Na hiyo ilijionyesha baada ya VIONGOZI WA KLABU HIYO KUSHINDWA KUKEMEA TABIA ILE CHAFU KWENYE SOKA kwa kuona kuwa kufanya hivyo ni kwenda kinyume na nembo ya YANGA ambayo inaonyesha dhahiri kuwa NGUMI NI JADI YAO...na hatutakiwa kuwalaumu kina MWASYIKA a.k.a SNAKE boy, CAnnavaro a.k.a Cheka.
Naomba kuwasilisha