Lakini kwanini wa kurisutu wanaogopa kifo kuliko wenzetu waislamu? Hata kwenye ibaada za mazishi wakuristu tuna mbwebwe nyingi zakuoogopesha waumini kifo, ukilinganisha na waislamu ambao wanahimiza waumini wao kwamba kufa ni wakati wowote na popote ulipo na uwe tayari kukutana na mola wakoHabari wadau!
Kuna watu wengi ukiwaambia kuhusu kifo wanaogopa sana, wakati kuitoogopa kifo ni rahisi sana.
Ujumbe wangu leo ni mfupi sana, kukutia moyo usiogope kifo.
- Siri namba moja ya kutoogopa kifo ni, kutoogopa kufa.
- Siri namba mbili ni, kuishi kama utakufa leo au wakati wowote. Kumbuka kwa wakristo tunaamini kuwa kila nafsi itaonja mauti.
TUKUTANE KILELENI.
Wakristo mnaamini kila nafsi itaonja mauti? Umedanganya hapo labda ni imani yako binafsiHabari wadau!
Kuna watu wengi ukiwaambia kuhusu kifo wanaogopa sana, wakati kuitoogopa kifo ni rahisi sana.
Ujumbe wangu leo ni mfupi sana, kukutia moyo usiogope kifo.
- Siri namba moja ya kutoogopa kifo ni, kutoogopa kufa.
- Siri namba mbili ni, kuishi kama utakufa leo au wakati wowote. Kumbuka kwa wakristo tunaamini kuwa kila nafsi itaonja mauti.
TUKUTANE KILELENI.
Correction:Sidhani kama wakristo wanaamini kila nafsi itaonja umauti. Sijaona sehemu imeandikwa hiyoHabari wadau!