Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,185
- 7,491
Wadau labda niwape siri msiyoijua wale ambao mngependa kuteuliwa kwenye nafasi za uongozi lakini mnashangaa hamteuliwi. Ni hivi, ukitaka kuteuliwa fuata utaratibu huu.
1. Epuka kutumia ID za ajabu ajabu kama vile jingalao hakuna mtu atakayekuteua kuwa kiongozi wakati unatumia majina ya aibu.
2. Epuka kutumia avatar za ajabu, wewe unatumia liavatar kama hili akuteue nani?
3.Jitahidi kuanzisha mada, anzisha mada zenye mashiko na ukichangia fikiri kabla ya kuchangia.
4. Epuka kuwa kigeugeu.
5. Kuwa mtulivu na uwe na heshima kwa kila mtu.
Ukiyafanya haya, utateuliwa, kama si leo basi kesho.