Siri ya kumpakata mwanamke.

Kama utafanya hivyo kila siku sehemu unazozipapasa lazima ziote sugu na hatakuvutia tena kumpapasa
 
Unampaka mukiwa uchi au na nguo mkipga stori
 
Mkuu,kuna wanawake wamekondeana yaani wanamifupa mitupu...wanawake wa namna hiyo ukimpakata mifupa itakuchoma utafikiri umeshika fance ya miiba (barbed wire)
Pia,kuna wanaume wenzetu huwa wanafanya kazi ngumu sana kama vile kulima,kubeba mizigo mizito kama vile wasukuma...msukuma akimpapasa mwanamke huyo mwanamke anaweza hisi anapapaswa na nondo au tofali la block na atachubuka ngozi mwili mzima!
 
Duh! Sasa kwenye kugegeda si ndio balaa
 
Ushauri mzuri, tatizo linakuja: mke wangu anakilo 98 mm ninakilo 63, nitaweza vip kumpakata hata dar 5 tu nakufanya manjonjo yote hayo?
 
Dah...mwanaume usithubutu kufanya hivyo... Hakuna kipindi hatari kwa mwanaume kama kile kabla ya gem....utapigwa mizinga...utakubali ahadi usizoziweza...nk....Cha msingi jipigie...uwaze ya kesho.
 
Ushauri mzuri, tatizo linakuja: mke wangu anakilo 98 mm ninakilo 63, nitaweza vip kumpakata hata dar 5 tu nakufanya manjonjo yote hayo?
Hii kali.Mpeleke kwanza GYM akishapungua mpakate. Mbona wenzio tunawapakata wenye misambwanda Dar Dodoma mkuu
 
Dah...mwanaume usithubutu kufanya hivyo... Hakuna kipindi hatari kwa mwanaume kama kile kabla ya gem....utapigwa mizinga...utakubali ahadi usizoziweza...nk....Cha msingi jipigie...uwaze ya kesho.
Tusiwafanyie roho mbaya kama jina lako. Tuwapakate hawa viumbe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…