mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,734
Mkuu ndoa kuvunjika sio mpaka watu watengane ...yan hata ile tuu mko kwenye ndoa then mmoja wenu akaanza kuchepuka.bhas hiyo ndoa ishavunjikamtoa mada ni vyema ukaelewa kuwa dini ni imani hiyo sababu yako ya kushika amri za mungu ni kwa imani yako ww ndio itafanya mwanamke asitoke nje ya ndio sio sahihi kuna wake wa wachungaji wengi na watu wengi wana shika amri za mungu na bado wake zao wanatoka nje ya ndoa.
na kuhusu kuoa mwanamke bikra-nayo haina mashiko na ingekuwa na mashiko basi karibu ndoa zote duniani z ingekuwa zimisha vunjika maana katika watu 1000 wanaoa kwa mwaka basi anayeoa bikra labda ni moja au hakuna kabisa.
Mkuu ndoa kuvunjika sio mpaka watu watengane ...yan hata ile tuu mko kwenye ndoa then mmoja wenu akaanza kuchepuka.bhas hiyo ndoa ishavunjika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo LA kwanza ndilo lenye ukweli zaidi na umuhimu ktk maisha yetu ya Leo.Ukiwa mwana wa Mungu kwelikweli basi Mungu wakweli atakuwa kielelezo ktk maisha yako yooote na sio mke pekee Bali yooote.Turudini ktk maadili na sheria za Mungu wakweli.Nasisitiza Mungu wa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachungaji tu wanachapiwa mkuu.....kushika amri wakati mkeo hajazishika haimfanyi asichepuke
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa bikira unamtolea wap wakat hata watoto wa miaka 14 ckuhiz wanadanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
We umepataHahaaah!! Basi shika hicho cha kwanza, lakini siamini kama unania ya kutafuta bikra alafu ukose
Pamoja na kwamba mizania ya uwajibikaji kifamilia inamuelemea mwanaume sio kigezo cha kufanya niwe na uchungu sana kwa mwanamke niliyeoa akiliwa outside..Hata mm nakula nje nao wala ndo wake za watu au wake watarajiwa etc so wangu akiliwa na infact analiwa I don't care ila tu nisijue ili tusivuruge watoto na huwa namwambia ajifiche nisijue na akumbuke kutumia kinga akiona hawezi kujiheshimu na kuniheshimu full stop.
Mlio oa mabikra kuweni makini na za kuambiwa maana mnaweza jinyonga yakiwakuta
mleta mada naona we bado hujaiva vizuri au unakosa taarifa za kina, kwa hoja nyepesi kama hizo lazma utakuja kujitoa uhai utakapobaini mwenye kila hizo sifa na bado anafanya mambo nnje ya upeo wako wa macho.
kwa ufupi mwanamke anaweza kutengeneza uhalisia wote ulioutaja kukufurahisha wewe unaetaka awe vile.
kubali ukatae ni mwanamke pekee anaweza penda mabwana wawili kwa kiwango kile kile, sie wanaume hatuwezi huo mchezo tunakamatwa mda mfupi tu.
aliwe asiliwe, achepuke asichepuke kimpango wake, BP na kufa mapema sitaki mie, na huwezi kumchunga mwanamke ukimfuatilia utapata taabu saaaaanaUsijisumbue utakufa bure.mwanamke hajui n kipi anataka.anytime anywhere unachapiwa hata kama umemnnunulia dege la kivita.
Sent using Jamii Forums mobile app
aliwe asiliwe, achepuke asichepuke kimpango wake, BP na kufa mapema sitaki mie, na huwezi kumchunga mwanamke ukimfuatilia utapata taabu saaaaana
we unafikili wagunduzi wa Chip wanafuatilia wanawake, ndiyo maana hatuendelee kwa wivu wa kitoto, mwamini mtu/mkeo sasa wewe akitoka kidogo tu unawaza anaenda kuchepukaHii ni kauli ya wanaume wavivu wa mambo madogo. Watu wanafuatilia mienendo ya taifa nzima. Huko marekani wanahangaika kutafuta teknolojia ya kuchunguza miendendo na mawazo ya watu. Wamegundua Chip, wewe unashindwa kumfuatilia mtu mmoja tuu. Tena mke wako. Alafu ukiletewa UKIMWI unaanza kulia lia kwa Mungu. Ukiletewa watoto wa nje unalia lia na kuona wanawake wabaya. Ukijakujua mwanamke kajenga kwao, unanuna. Ukija kugundua mke wako anahonga Ex wake unalia. Wanaume wajinga ni mzigo. sana kwa taifa na ulimwengu kwa ujumla. Hata hujui maana ya " muishi nao kwa akili" kauli yako imewakilisha wanaume wengi wajinga na wanaokimbia majukumu yao. Sasa pima nani anayepata tabu kati ya mtu anayemfuatilia Mke/mume wake na asiyemfuatilia.
we unafikili wagunduzi wa Chip wanafuatilia wanawake, ndiyo maana hatuendelee kwa wivu wa kitoto, mwamini mtu/mkeo sasa wewe akitoka kidogo tu unawaza anaenda kuchepuka