UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,082
- 9,498
Inaonyesha una hasira?Kwenye kuua ua magufuri sitakaa nimsamehe. Shweitan mkubwa. Ovyo kabsa.
Ubora wa Samia unatokana na ubovu wa magufuri!
Mtu anayechukulia uhai wa mtu mwingine kirahis rahis kisa kuna mambo ya kidunia tu jamaa lilifanya namchukulia kama nguruwe tu. Akili za kunya na kula hapo hapo.
Tuthamini uhai maana ni non replaceable!
Eti marehem hasemwi vibaya wakati historia huwa haijifichi!
.....injustice for one is injustice for all...