Siri ya fedha

Siri ya fedha

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,181
Reaction score
48,695
Hi!

Hakuna kitu kinachopendwa kama fedha. Yaani hata Mungu hajawahi kupendwa kama inavyopendwa fedha, ingawa watu wengi wanaigiza kumpenda Mungu kuliko fedha ila ukweli utabaki palepale kuwa fedha inapendwa kuliko vitu vyote.

Kuna watu ni wapagani wanaabudu vitu vinavyoonekana kama miti, mawe, milima n.k, kuna watu ni atheists (wasioamini katika uwepo wa supernatural power/Mungu.

Kuna watu wanaoamini uwepo wa Mungu na nguvu zake.

Makundi hayo yote yanaamini katika nguvu ya pesa.

Ok ngoja niwamegee siri moja tu ya fedha kati ya nyingi .

******* Fedha ina masikio, macho na mdomo******.

Hivyo basi fedha inasikia, inaongea na inaona.

Anza kuisemesha utaona matokeo yake.
 
Subiri siku ukiwa mahututi ndiyo utaelewa nani ana nguvu kati ya pesa na Mungu
Ndugu Mimi nimeandika ukweli.
Sijapindisha ukweli kisa tu Mimi ni muumini mtiifu.
Hata kama ninamtukuza Mungu kiasi gani lakini ukweli utabaki palepale kuwa fedha inapendwa kuliko vitu vyote ulimwenguni.
 
tumefika huko

Ni hivi pesa haina thamani kivilee sema wewe mtoa mada na wenzako dizain yako hamna pesa mnajalibu kuishi kwenye kujifariji sisi wenyewe pesa huwezi kuta tunaongea huu upuuzi sababu tunajua uhalisia upo vipi nilibanagwa na ugonjwa mmoja mkali kila jambo niliona mzigo

Najua huna hela hebu okota kwanza hizii akili ikukae sawa tafuta pesa utakufa maskini ooh
e9cf22096a7a221382b34be49992db56.jpg

?rid=77694]JamiiForums mobile app[/URL]
 
Hi!

Hakuna kitu kinachopendwa kama fedha. Yaani hata Mungu hajawahi kupendwa kama inavyopendwa fedha, ingawa watu wengi wanaigiza kumpenda Mungu kuliko fedha ila ukweli utabaki palepale kuwa fedha inapendwa kuliko vitu vyote.

Kuna watu ni wapagani wanaabudu vitu vinavyoonekana kama miti, mawe, milima n.k, kuna watu ni atheists (wasioamini katika uwepo wa supernatural power/Mungu.

Kuna watu wanaoamini uwepo wa Mungu na nguvu zake.

Makundi hayo yote yanaamini katika nguvu ya pesa.

Ok ngoja niwamegee siri moja tu ya fedha kati ya nyingi .

******* Fedha ina masikio, macho na mdomo******.

Hivyo basi fedha inasikia, inaongea na inaona.

Anza kuisemesha utaona matokeo yake.
kuna hela naisikilizia mahali mkuu
 
Unaagiza mirinda nyeusi na matango MKUU.. agiza kitu kimoja kama mirinda nyeusi au Tango.. unachanganya
 
Back
Top Bottom