Siri usiyoijua

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,651
Reaction score
4,758
Hawa wake zetu au mademu zetu kwenye mioyo yao wana jambo zito sana wanayamani kulisema ila wanapata hofu au kuona huruma au kujisikia vibaya kulisema...

Sasa hapa natoa uwanja kwa wadada kusema jambo ambalo linakukereketa sana moyoni...unatamani kumweleza mista...ila unaona soo...liseme hapa..huenda akapita na uzi huu akasoma hali halisi akajipanga...

Haya mashostito tiririkeni hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] Wewe Kaka Nakupendaga jmaan.!!
Hahahaahaa mzee wa vitunguu swaumu huyo hata mi hua ananifurahisha sana.

Maendeleo hayana chama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…