B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 995
- 1,962
Labda huko kwao ni mambo ya kawaida. Sio mageni kwenye jamiiKwamba ni siri Halafu anakubali achukuliwe na kamera?
Wame maliza ibada zao ni utelezaji tuContent tu hiyo Haina uhalisia, ushirikina haufanyiki hivyo
Wame maliza ibada zao ni utelezaji
Hio ni technique ya bei chee ya kuleta mvuto kwenye duka. Apo hkwenye ushirikina sasa ndo utusanuehivi ushirikina mnaujua au mnaigiza tu msiyoyajua
Hio ni technique ya bei chee ya kuleta mvuto kwenye duka. Apo hkwenye ushirikina sasa ndo utusanue
ndugu mshirikina tuambie sasa ushirikina ulivyohivi ushirikina mnaujua au mnaigiza tu msiyoyajua
utamu wa ngoma uingie ucheze.... ingia utauona ulivyondugu mshirikina tuambie sasa ushirikina ulivyo
hfg kl iuys osbg ksg hapanautamu wa ngoma uingie ucheze.... ingia utauona ulivyo
Kama ilo ni duka la kawaida. Kwenye Mall au supermarket itskuaje?Hapo sio kuleta mvuto. Hapo ni ushirikina wa kuwapumbaza watu wasiende kwingine waje hapo bila kujali ubora wa bidhaa hata kama bidhaa zitakuwa zimeoza/zimepitwa na wakati kama hao samaki. huo ni ushirikina.