Siri nzito ya Zombe na Bageni

...ubaya wa dili chafu zinahusisha kisasi!...na huwa hakiangalii;hata watu wako wa karibu unaowapenda sana wanaweza wasiwe salama!
.utamu kolea!
 
Nllijua naangalia sinema
 
Inaonekana hujaielewa vzr hii issue...Hawakuwa wakitumwa na MTU Malikuwa wanajituma wenyewe ili KUIIBIA RAIA
 
Inaonekana hujaielewa vzr hii issue...Hawakuwa wakitumwa na MTU Malikuwa wanajituma wenyewe ili KUIIBIA RAIA
Anhaa nimekupata mdau,kama hao kwa VYEO VYAO WALIKUWA WAKIFANYA HIVYO,JE HAWA WA CHINI HUKU NANI ATAWASIMAMIA?Kma utakumbuka juz juz huko kanda ya ziwa polisi waligoma kulipia chips ikatokea fujo
 
Anhaa nimekupata mdau,kama hao kwa VYEO VYAO WALIKUWA WAKIFANYA HIVYO,JE HAWA WA CHINI HUKU NANI ATAWASIMAMIA?Kma utakumbuka juz juz huko kanda ya ziwa polisi waligoma kulipia chips ikatokea fujo
Nahafamu vzr mambo ya Polis kwa kuibia RAIA
 
Nahafamu vzr mambo ya Polis kwa kuibia RAIA
Watendaji wakuu wa Polisi wajitahidi sana kurejesha nidhamu polisi kwa sababu haya mambo ya wafanyabiashara wa madini kwa bahat tu yalikomaliwa ila naamin wengi wameumia sana
 
Dreva tax alikua ni mtu wao wa Karibu sana kila wakati ja daresalaam kuuza Izo spinel walikua wakimchukua ...so anaweza kua alihusika... Nawajua kina jongo sana tu huko walipo nafsi zao zitakua zimetulia sasa[emoji24][emoji120]
Katika zambi Ile Yule Taxi driver (ambaye pia aliuwawa) Hana hatia Yoyote alikuwa ni Muaminifu kwa wateja wake.

Meneja wa hotel waliyofikia Pamoja na baadhi ya brokers wa madini ndio walivujisha issue Ile kwa Genge la Kina Zombe ambao kwa wakati ule walikuwa na mtandao mpana tu wa kihalifu.
 
Tatizo lake lilikuwa lipi km na yeye dereva taxi aliuwawa?
 
Kuua bila kukusudia adhabu yake si kunyongwa
 
msitu wa pande ni pale ilipo law school kwa sasa ambapo lilikua poli kuanzia stend ile mpya mawasiliano hostel mpya zinazojengwa za udsm kwa kifupi lile lilikua eneo la posta na simu enzi izo mpaka huku mkapa foundation
Siyo kweli, ni Mabwe Pande hata ukisoma hukumu mjibu Rufaa namba 4 aliyemkaanga Bageni anasema walielekea Mbezi wakapita Kituo cha Polisi Mbezi kwa Yusufu wakamchukua askari mwenye uniform, yule askari alipoulizwa na mjibu rufaa namba 4, tunaenda wapi, akajibiwa tunaenda Mbezi Makabe lkn baadae wakaona wanaelekea Mabwe Pande (Pande) kwa story hiyo katika hukumu ile ni wazi siyo pale Sam Nujoma
 
Hapo kilichobaki ni kuomba mapitio ya hukumu ambapo ikifayika itajumuisha majaji 5 au 7. Ila ukisoma hukumu ile sioni nini kinaweza kubadilika aisee maana wale majaji watatu wamefanya kazi kubwa sana.
 
Rais Magufuli ashukuriwe kwa hili. Kuna mijitu ni trigger happy yenyewe ni kuua tu yanavyopenda kwasabab ya nyadhifa zao hila kwasasa yataogopa
Magufuli kafanyaje mkuu? Hii ni Mahakama na aliyewapeleka mahakamani hawa ni DPP wakati wa Jk na rufaa ilikatwa 2013 sasa JPM kafanya nini?. Kama unataka kumshukuru ngoja uone kama atatimiza wajibu wake wa kusaini kuidhinisha kunyongwa kwake, jambo ambalo nina wasiwasi kama atalifanya.
 
Hiyo hotel waliyofikia si inaitwa Bondeni South Africa pale Magomeni. Mmiliki wake akiwa ni kada maarufu wa chama fulani.
 
U saad alawi na mwenzie ndio walikuwa mashahidi wazuri kummaliza zombe, kutopatikana kwao ndio kumemuacha huru zombe... Ila damu ya mtu haipotei bure..
Isingesaidia.

Okay, hapa napo ni eneo ambalo sheria zetu zinatakiwa zibadilike.

Tanzania hakuna plea bargain agreements, nimelisema sana hili. Yaani Afande Saad na Frank hawana incentive ya kujitokeza kuisadia serikali against mabosi wao kwa sababu hakuna unafuu wa kisheria wanaopata.

Nchi nyingine prosecutor anakaa chini na mtuhumiwa, e bana ee, sisi tunadhani na tunataka kujua zaidi kama bosi wako ndio kinara wa hii felony, what can you give us in terms of evidence, information, etc. za kumu incriminate Zombe ili na sisi tukupe nafuu ya mashitaka?

Tanzania haipo kisheria, hakuna. Sasa kwa nini nikaisadie serikali kumnyonga Zombe wakati na mimi na face mashtaka hayo hayo? Tena mimi koplo ndio naweza kuambiwa ndio kinara manake nime pull the trigger hata kama Zombe ndie aliamuru. Kwa nini ni come forward? Kwa nini nisaidie? Doesn't make any sense, bora nijifiche, nifie huko.

Criminal jurisprudence yetu ibadilike, iende na viwango vya kimataifa. Sijui kama ma expert wetu wa criminal procedure wana hizi exposure masikini ya Mungu, manake kuna vitu ukivisema watu wanashtuka, ukisema kesi ya Zombe imerudiwa mara mbili, mara ya kwanza serikali ilishindwa, watu wanashtuka. Ni kinyume na misingi ya judicial rights za raia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…