Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,497
- 2,739
Siyo kwamba hajui msitu ulipo ila amefanya jokes kwani watu waliuawa hapo lakini police walidai wamepambana na majambazi na kuwaua msitu wa Mabwepande.Brother, heshima mbele.....msitu hupo nje ya mji na hupo chini ya hifadhi ya misitu tembelea hapa TFCG, Misitu Yetu Project: Pande Game Reserve kwa taarifa zaidi.
msitu wa Pande uliopo mbezi luis. i suppose mabwepande iko mbele kuelekea boko hukoSiyo kwamba hajui msitu ulipo ila amefanya jokes kwani watu waliuawa hapo lakini police walidai wamepambana na majambazi na kuwaua msitu wa Mabwepande.
Hivi msitu wa Pande ndio Mabwepande ?
Lazima achanganyikiwe na Mungu atamlipa stahiki yake[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]ila ukikutana naye live ni kama kachanganyikiwa fulani hivi
C huyo Mgeni, cjui Bagain aliyehukumiwa kitanzi jana. Ndo shetwani lenyewe la miguu miwili. Hata kama waligawana hizo fedha, hazijamletea faraja yoyote.[emoji1] [emoji1] [emoji23] shetani wa kwanza ndio nani?
Ulikuwa hujazaliwa kijana.Hii ni tamthilia au nini mbona sielewi
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]ila ukikutana naye live ni kama kachanganyikiwa fulani hivi
Niliweka comment jana juu ya deal iliyofanya Zombe akwepe kifungo,wadau wakaja fasta kuniambia nifute.Hivi,hakuna utaratibu wa rufani hapo,ndiyo tuseme yameisha kabisa?
Ama Zombe kutohusika na kuuwa kwa mkono wake,wakati alishiriki mchakato mzima na mpaka kupata mgao baada ya mauaji hayo, je hakuna adhabu ya chini anayostahili kwa ushiriki wake, isipokuwa ni kuachiliwa huru?
Ninaomba wajuzi wa sheria wanisaidie hilo. Vinginevyo nitabaki kutokuwa na imani na mahakama zetu hizi katika utoaji wa haki.
Hujamsaidia kwa lolote, hiyo comment iko wapi?Niliweka comment jana juu ya deal iliyofanya Zombe akwepe kifungo,wadau wakaja fasta kuniambia nifute.
Kuna rafiki yangu mtumishi wa KITENGO aliwahi nipa SIRI juu ya kesi soon baada ya Zombe kuachiwa huru katika hukumu ya kwanza na akafungua madai ya fidia. Hukumu ya pili ilipotoka tu akanipigia kusema "UMEAMINI".
Ingewezekana lakini sio katika awamu hiiisije ikawa zuga....maana moja ya watu ambao hawaamin kama Balali alikufa ni mm....sasa asje akasafir kwenda kuish huko vietnam af tunaambiwa kanyongwaa....tuoneshwe LIVE
Mkuu hiyo ilikuwa ni rufaa. Hawakushitakiwa upya.Haikuwa sawa kwa watuhumiwa kushitakiwa mara mbili. Imevunja misingi ya common law ya prohibition against double jeorpady.
Mkuu, hizo 5m ndio zilizoripotiwa. Inasemekana wale wafanyabiashara waliouawa walikutwa na 120m. Hizo nyingine zilikoenda tumia akili yako.Hivi million 5 zinakushawishi kuua watu??? I'm very confused!!
Nimejiongeza mkuu. Lakini maisha yetu yasiwe money oriented!Mkuu, hizo 5m ndio zilizoripotiwa. Inasemekana wale wafanyabiashara waliouawa walikutwa na 120m. Hizo nyingine zilikoenda tumia akili yako.
Well, "mwenendo wa kesi upitiwe upya," ndio kesi kurudiwa mara mbili huko!Sidhani kama wameshitakiwa Mara mbili DPP hakulidhika na Hukumu waliyopata Mara ya kwanza Kwahiyo amekata Rufaa ukikata Rufaa lazima Mwenendo wa Kesi upitiwe upya!
Mkuu hiyo ilikuwa ni rufaa. Hawakushitakiwa upya.