Siri nzito ya 'muccob's" hii hapa.

Hii habari ya kuingia na Div. III mpaka IV nimewaeleza katika post yangu #87 Mandela anadai masomo yamebadilika siku hizi wakati mm nilisoma enzi za Mahuwi km Principle Mwiteni na kina Chambo
sasa sijui leo wanaandika na kujifunza kiarabu au Kirusi hata hivyo masomo huwa hayabadiliku Acc ikawa na kukaanga mayai sijaona tangu nizaliwe eti siku hizi wanasoma Sociology tofauti

Kwenye Rank za vyuo Afrika Muccobs kwa sasa hakipo tena, hata katika vyuo 200
Bora Enzi yetu kilitambulika East, Central & Southern Africa enzi ya Marehemu Anangisye na mama Zakia Megji
Wanafunzi toka Botswana na Namibia walikuwepo kibao
Kwa kumsaidia Advocate J sasa hivi kazi za Ushirika hakuna tena maofisini, Vyama (CUT, SCULT na SACCOS mmeviua vyote) Wakurugenzi wanatoka Mzumbe na Vyuo km UD, Watendaji na Maafisa mipango ni IRDP Dodoma, IT ni UD na UDOM hivyo jamaa yangu Bro Mesh km upo Dodoma nenda kachukue Master yako UDOM
MuccoBs ni mahali pa kuanzia tu

Vyuo 100 vya Afrika ni hii hapa UD ni ya 12 ikifuatiwa na Sokoine ya 100
100 Universities and Colleges in Africa by the 4icu.org University Web Ranking
[TABLE="width: 382, align: center"]
[TR]
[TD]1 Cairo University[/TD]
[TD]Egypt[/TD]
[TD][[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2 University of Cape Town[/TD]
[TD]South Africa[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3 University of Pretoria[/TD]
[TD]South Africa[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4 Universiteit Stellenbosch[/TD]
[TD]South Africa[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8 Ain Shams University[/TD]
[TD]Egypt[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9 Alexandria University[/TD]
[TD]Egypt[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10 Mansoura University[/TD]
[TD]Egypt[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11 University of KwaZulu-Natal[/TD]
[TD]South Africa[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12 University of Dar es Salaam[/TD]
[TD]Tanzania[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]78 Kenyatta University[/TD]
[TD]Kenya[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]100 Sokoine University of Agriculture[/TD]
[TD]Tanzania[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 382, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
mbona hoja ya division umeiruka? hujaielezea, hebu jibu na hiyo hoja
hebu pima kiakili tu una Div 1 Muccobs wanakuita? ni Direct Vyuo vyake vipo na vinakusubiri
Mimi nimesoma pale MUCCOBS wakati huo mambo ya Ushirika yanakufa ndio kina Chambo wakaona wajiunge na Sokoine kwa ajili ya fani yao ya Ushirika la sivyo kingekosa mwelekeo km hivi kinapokwenda namnukuu Ukwaju hichi Chuo chang hakipo tena katika Rank za Vyuo vikuu vya Afrika na Duniani na slama yake kimebebwa na Sokoine.
Kwa hiyo ni Vyuo vishiriki km Chuo Cha Mipango Dodoma, Mvumi Nursing, Mwenge Kilimanjaro
Muccobs ni Chuo unachoomba kujiunga baada ya kukosa vingine ndio ukweli jamaa zangu Mandela na Deviey69 mkimaliza Chuo hapo kajiungeni na Vyuo vingine km mtaweza maana kazi za Ushirika zilishakufa, na Ukurugenzi au Umeneja ni vigumu kwa msomi wa MUCCOBS maana Vyeti vyetu viliharibiwa kwa kuweka in Cooperative Management
 
Last edited by a moderator:
Mandela nakusifu kwa hapo tu maana umemkaushia vizuri huyo mwanachuo mwenzako na mwenzetu (mm nimetoka pale na km 2004
Kitendo cha kumtukana qn of sheba wajina wangu ni sawa na mama yake tu kwani jibu alilopewa na shoga yangu ni bado kwanza lugha aliyotumia sijui ni slung au Common tense imetudharaulisha wasomi wa Muccobs
mwisho kamwambie sisi ni Mama zake hatuna tofauti na aliyemzaa km anabisha akaingize kidole hapo alipotokea na kukinusa km hapakuvunda ndio aendelee kututusi Wanawake if i fuc.k you in a guest they
Hapo Chuoni hakufundishwa TAX? au aliDISCO
 
Last edited by a moderator:

Ahsante sana mkuu sijui nikupe nini maana kuna watu humu wanabisha tu kiushsbiki wakati ukweli wanaujua. 100%
 

Teh teh wajina mwache huyo utoto unamsumbua akikua ataacha bahati mbaya ndo kwanza yuko first year hajui hata kama atagraduate au la namlaumu sana kushabikia vitu ambavyo hajajua hatma yake na kutukana wanawake as if babake ndo kaingia labour.
 
Last edited by a moderator:

Me nawaombea tu wamalize salama bila kudisco.Ili waweze kuendelea na masomo ya juu zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana mkuu sijui nikupe nini maana kuna watu humu wanabisha tu kiushsbiki wakati ukweli wanaujua. 100%

Wajina hata mimi sijui nimpe Ukwaju nini maana katufungua hasa na km kweli alipitia hapo MuccoBs na anadai chuo hicho kimemezwa na sokoine angaetupatia Ranking kwa tanzania tukione kilipo
 
Last edited by a moderator:
Wajina hata mimi sijui nimpe Ukwaju nini maana katufungua hasa na km kweli alipitia hapo MuccoBs na anadai chuo hicho kimemezwa na sokoine angaetupatia Ranking kwa tanzania tukione kilipo
Pamoja sana na qn of sheba Muccobs hakipo katika Vyuo vya Tanzania 25 huenda vipo katika Rank nyingine ya Unesi, Ufundi mchundo (VETA) au mbao ya ustawi wa jamii na Ushirika

[TH="class: bl, width: 31"]
[/TH]
[TH="class: bl, align: center"]University
[/TH]

[TH="class: bl, width: 35%, align: center"]Location
[/TH]

[TD="class: i"] 1 University of Dar es Salaam [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Dar es Salaam ...[/h][/TD]

[TD="class: i"] 2 Sokoine University of Agriculture [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Morogoro ...[/h][/TD]

[TD="class: i"] 3 The Hubert Kairuki Memorial University [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Dar es Salaam[/h][/TD]

[TD="class: i"] 4 Tumaini University Makumira [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Arusha[/h][/TD]

[TD="class: i"] 5 Muhimbili University of Health and Allied Sciences [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Dar es salaam[/h][/TD]

[TD="class: i"] 6 St. Augustine University of Tanzania [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Mwanza ...[/h][/TD]

[TD="class: i"] 7 Ardhi University [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Dar es Salaam[/h][/TD]

[TD="class: i"] 8 Catholic University of Health and Allied Sciences [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Bugando[/h][/TD]

[TD="class: i"] 9 Nelson Mandela African Institution of Science and Technology [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Arusha[/h][/TD]

[TD="class: i"] 10 Mzumbe University [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Morogoro[/h][/TD]

[TD="class: i"] 11 The University of Dodoma [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Dodoma[/h][/TD]

[TD="class: i"] 12 Mount Meru University [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Arusha[/h][/TD]

[TD="class: i"] 13 St. John's University of Tanzania [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Dodoma[/h][/TD]

[TD="class: i"] 14 The State University of Zanzibar [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Zanzibar City ...[/h][/TD]

[TD="class: i"] 15 Teofilo Kisanji University [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Mbeya[/h][/TD]

[TD="class: i"] 16 Sebastian Kolowa Memorial University [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Lushoto[/h][/TD]

[TD="class: i"] 17 Zanzibar University [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Zanzibar City[/h][/TD]

[TD="class: i"] 18 The University of Arusha [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Arusha[/h][/TD]

[TD="class: i"] 19 Muslim University of Morogoro [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Morogoro[/h][/TD]

[TD="class: i"] 20 Mbeya University of Science and Technology [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Mbeya[/h][/TD]

[TD="class: i"] 21 St. Joseph University in Tanzania [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Mbezi Luguruni[/h][/TD]

[TD="class: i"] 22 International Medical and Technological University [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Dar es Salaam[/h][/TD]

[TD="class: i"] 23 United African University of Tanzania [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Dar-es-Salaam[/h][/TD]

[TD="class: i"] 24 University of Bagamoyo [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Dar es Salaam[/h][/TD]

[TD="class: i"] 25 Eckernforde Tanga University [/TD]
[TD="class: i"][h=5]Tanga[/h][/TD]

[TD="class: line, colspan: 2, align: right"]
[/TD]
Top Universities in Tanzania | 2014 Reviews & Rankings

cc Mandela Advocate J Bro Mesh daviey69 ninyi ni Wanachuo wenzangu wa Chuo Cha Ushirika Moshi tafuteni hivi Vyuo 25 acheni ubishi
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana mkuu sijui nikupe nini maana kuna watu humu wanabisha tu kiushsbiki wakati ukweli wanaujua. 100%
Nimekuelewa Msoni wangu lkn hebu waulize hicho Chuo ni College au University na hutoa masomo gani maana hakitambuliki mm nilishakimbia hapo zamani baada ya kugundua wanajichanganya ndio maana sitaki ku-Disclose interest zake
hebu angalia na hapa km watakuja tena basi wamezoea Matusi waache utachoka bure
[h=3]TOP 20 BEST UNIVERSITY AND COLLEGES IN TANZANIA[/h]
Universities / colleges and Location

[TABLE="width: 745, align: center"]
[TR]
[TD="class: i"]1 University of Dar es Salaam (Dar es salaam)[/TD]
[TD="class: i"][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 2 The Hubert Kairuki Memorial University(Dar es salaam)[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 3 Sokoine University of Agricultur(Morogoro)[/TD]
[TD][h=6][/h]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 4 The University of Dodoma(Dodoma)[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 5 Mzumbe University(Morogoro)[/TD]
[TD][h=6][/h]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 6 Ardhi University (Dar es salaam)[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 7 St. Augustine University of Tanzania(Mwanza)[/TD]
[TD][h=6][/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 8 St. John's University of Tanzania(Dodoma)[/TD]
[TD="class: i"][/TD]
[TD="class: i"][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 9 International Medical and Technological University(Dar es salaam)[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 10 Mount Meru Universit(Arusha)[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 11 Muhimbili University of Health and Allied Sciences(Dar es salaam)[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 12 The State University of Zanzibar(Zanzibar city)[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 13 The University of Arusha(Arusha)[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 14 Zanzibar University(Zanzibar)[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 15 Muslim University of Morogoro(Morogoro)[/TD]
[TD][h=6][/h]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 16 Tumaini University(Dar es salaam)[/TD]
[TD][h=6][/h]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"] 17 Teofilo Kisanji University(Mbeya)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Bado na hakipo hicho ni Chuo kilichoanzishwa mika ya kilimo cha kahawa na Kilimanjaro Native mwaka 1964 kikahamishiwa hapo kilipo na kusaidiwa na serikali ili kiwapate wataalamu wa zao la kahawa
1994 ndi Ushirika ukafufuliwa tena na kina Kamishna Tuniga ndipo wakaongezea na maafisa wenye ujuzi wa Computer, Acc Saving&Credit
Miaka ilivyoenda fani yake ikapotea wakaona wajiunge na SUA
na ndio basi kimekuwa kitengo na sio College tena
kwa hiyo Promo ya Mandela acha iendelee watavuta Watanzania wengi tu
 
Last edited by a moderator:

Tatizo wanaweza kukuona mnafiki ila kwenye ukweli tusifie na kwenye mapungufu tukosoe. Big up mkuu sina muda tena kujibizana na hawa watoto.
 
Last edited by a moderator:

Na hata sitajibizana nao watabisha tu ingawa fact wameziona hiyo itakuwa jeuri yao tu isiyo na maslai.
 
Last edited by a moderator:
acha ushamba wewe am speaking with experience ww naijua sua zaidi ujuavyo sio wewe uliyehadithiwa na my two family member wamesoma hapo na mmoja kafundisha hapohapo shule ngumu ila wenye uwezo wao wanafaulu na kupata gpa za kuwawezesha kubaki hapo.

ivii wewe ni chuo gani sasa ambacho hujakisoma au ndugu yako hajakisoma ..
Maana vyote unajifanya kuvifahamuu .. Tukuelewe vip .. ?
 
hahahah duh unaposema SUA ni cha tatu kwa ubora maana yake hata constituent college yake(MUCCoBS) ni ya 3, pia mfano UDSM ni ya kwanza maana yake na hata constituent college zake(DUCE,MUCE) ni za kwanza
 
hahahah duh unaposema SUA ni cha tatu kwa ubora maana yake hata constituent college yake(MUCCoBS) ni ya 3, pia mfano UDSM ni ya kwanza maana yake na hata constituent college zake(DUCE,MUCE) ni za kwanza
Upo sahihi kuu MuccoBs sio Universuty
Ni Idara unayoshughulikia mambo ya Ushirika (Kilimo) wakiwa Moshi km vile Kizumbi
Ndio maana hata kirefu cha MUCCoBS ni kigumu kukitafsiri kinadharia
Moshi University College of Co-operative and Business Studies (sawa na wangeandika MUCoCBS)
[TABLE="class: infobox vcard"]
[TR]
[TH="class: fn org, colspan: 2, align: center"]Moshi University College of Co-operative and Business Studies[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]Swahili: Chuo Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Established[/TH]
[TD]2004[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Type[/TH]
[TD]Public[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Chancellor[/TH]
[TD]Al Noor Kassum[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Principal[/TH]
[TD]Prof. Faustine Bee[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Location[/TH]
[TD="class: adr"]Moshi, Tanzani[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Km mtabisha na hapo tena College na University kuwa pamoja haya sisi mpaka tunaondoka hapo jina hilo hatukulikubaliana na Principal wenu maana ni sawa na wale wa Benki ya Ushirika Bank
CRDB kirefu chake hakipishani na muccobs
 

crdb walibadilisha .. Na hawana kirefu tena ... Imebaki crdb...
Kama ilivyo kwa "kcb" sio tena "kenya commercial bank.. Ni .. Kcb .
 
ivii wewe ni chuo gani sasa ambacho hujakisoma au ndugu yako hajakisoma ..
Maana vyote unajifanya kuvifahamuu .. Tukuelewe vip .. ?

Sasa inakuuma kama wewe kwenu au ukoo wenu ndio peke yako umesoma chuo kikuu basi tulia jitahidi usomeshe wanao miaka ijayo... Huo ndio ukweli na ninandugu kibao plus marafiki walio soma hivyo vyuo nilivyotaja na mimi mwenyewe pia. Ikikuuma rudi darasani kasome nawewe uje kujisifia humu.
 
hahahah duh unaposema SUA ni cha tatu kwa ubora maana yake hata constituent college yake(MUCCoBS) ni ya 3, pia mfano UDSM ni ya kwanza maana yake na hata constituent college zake(DUCE,MUCE) ni za kwanza

Endelea kujifariji kwani kilivyokuwa rank juu kilikuwa kinajitegemea. Kakojoe ulale uwahi vipindi vyenu vya saa 7:30 asubuhi
 
crdb walibadilisha .. Na hawana kirefu tena ... Imebaki crdb...
Kama ilivyo kwa "kcb" sio tena "kenya commercial bank.. Ni .. Kcb .
Basi Mandela nimekubali km katika kamusi yetu kuna crdb km neno basi huyo aliyelitunga namsifu kuwa MUCCoBS ni Chuo Kikuu na inajitegemea sio kishiriki
Haya Mkuu nimekubali lkn kabla hujafunga mjadala zungukia na Wikipedia ili uelewa wazi ni kwanini wamekiweka km College nimekupa link pia PDF
The Moshi University College of Co-operative and Business Studies (MUCCoBS)
is a constituent college of the Sokoine University of Agriculture in Moshi, Tanzania.[SUP][1][/SUP]

"Register of Universities" (PDF). Tanzania Commission for Universities. Retrieved 15 July 2013.
 
Last edited by a moderator:
Endelea kujifariji kwani kilivyokuwa rank juu kilikuwa kinajitegemea. Kakojoe ulale uwahi vipindi vyenu vya saa 7:30 asubuhi
Queen msamehe kijana naona sasa wametambua wapo Chuo cha aina gani wanachokipigia PROMO
Wasije wakakimbia maana kimetambuliwa mwaka jana tu na TCU lakin kwa fani bado ni College isiyo na fani maalum ndio maana wako chini ya SUA
Tumeshawaomba wasome ili waweze kumaliza hapo na kujiunga na University sio mahali ambapo hakuna uhakika wa ajira Serikalini Vyama vya Ushirika vimekufa vyote sasa ni SACCOS zinafuata
Na kazi za Benki Wizara, na Halmashauri ni km ulivyosema UDSM, UDOM, Mzumbe sio chuo cha Muccobs
"Register of Universities" (PDF). Tanzania Commission for Universities. Retrieved 15 July 2013.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…